Yaani iko hivi, Tesla wana Solar roof zipo za aina mbili, ukitaka bati kabisa ambalo ni solar au kama tayari ushaweka bati unanunua panels.
Sema ni expensive saaaaaana, nakumbuka MKBHD ali review alitumia $100,000 premium version.
Si nadhani tuendelee na hizi za kawaida.