Elon Musk ahofia kutimuliwa Marekani kama muhamiaji haramu

Tajiri la kwanza duniani walitimue 😄
Mnatania eti
Mpunga wake ni $269b jamani hata kama
Wewe mgeni mwenye tajiri akija kwako ungemfukuza?
America ni nchi ya fursa ukiitumia vizuri
Ingawa kuna walala hoi kibao
 
Wakimtimua atawavua nguo. Ni rais sana kwenda Nchi kama Russia
Kuna nchi ambayo mazingira yake yanapelekea watu kupata fursa za kiuchumi zinazoweza kumfanya mtu aibuke kuwa tajiri sana mfano mzuri ni nchi kama Marekani.

Ukiwa nchini Marekani unaweza kufanya shughuli zako na kuneemeka kiuchumi bila kuingiliwa na chama chochote cha kisiasa hata kama hukiungi mkono tofauti na nchi nyingi sana duniani.

Mfano mzuri sana ni hapa Tanzania ambapo ukiwa tajiri halafu ukipinge ccm na utajiri wako ndio unaishia hapo na unarudi kupanda dala dala na wengine lakini Marekani huwezi kukuta upumbavu kama huo.
 
Umenena vyema mkuu
 
Huy mpuuzi muda si mrefu atalopoka kuwa South Africa irudi kwenye Apartheid ....
 
Tajiri la kwanza duniani walitimue 😄
Mnatania eti
Mpunga wake ni $269b jamani hata kama
Wewe mgeni mwenye tajiri akija kwako ungemfukuza?
America ni nchi ya fursa ukiitumia vizuri
Ingawa kuna walala hoi kibao
Utajiri wa Jamaa ni around $440b..

Bajeti ya yetu ni $20. So jamaa anaweza kuendesha nchi ya Tanzania bila kukopa sehemu kwa muda wa miaka 22+.. hapo kila kitu kipo kama ulaya, kuanzia huduma za afya mpaka miundo mbinu.
 
Back
Top Bottom