Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

all about

Member
Joined
May 28, 2022
Posts
69
Reaction score
103
Hello my jf friends[emoji112] hii ni thread yangu ya kwanza nabandika hapa jukwaani lakini sio kwamba niko expert sana kwenye haya mambo ila ni passion tu ndo inanisukuma pia napenda kushare kama nilivyojitambulisha kule kwenye jukwaa la wageni niko na hobby zingine mbalimbali hivyo mtalajie mengi hasa hapa jukwaa la tech [emoji4]

So then let's go.... [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ndio inaitwa "Tesla Pi" nimeichunguza vizuri ipo bomba sana nimejaribu kuihusianisha na hii ya iphone hasa hii iphone13 pro nimeona upo utofauti ambao unadhihirisha kwamba ipo juu ya iphone.
Japokuwa yeye mwenyewe Bwana Steve Jobs alishafariki 2011 akiwa na miaka 56 baada ya kusumbuliwa sana na tatizo la kansa ya kongosho, nadhani kama angewa hai leo hii wala hasingekubari jambo hili litokee na huenda kampuni yake Apple ingefika mbali sana, Bwana Elon Musk yeye ni mzima wa afya akiwa na miaka 50 kwa sasa.

Sawa ngoja tuzichunguze kwa pamoja ujionee mwenyewe ila huyu huyu Elon Musk ni hatari sana anakuja vizuri hata hivyo ametuaidi mambo mengi sana na hata hii smarthpone yake inamaajabu mengi sana ngona tuone.

Hapa tutaichunguza iphone13 pro na tesla pi ambazo zote ni toleo jipya kwa sasa.

CAMERA
Camera ya Iphone13pro max
Hapa kwa upande wa camera simu zote mbili inaonesha kuwa na mfanano wa karibu sana, tukiangalia iphone yenyewe ipo na camera tatu ambazo zinauwezo wa kupiga picha kwa uzuri zaidi ambapo camera zote mbili yaana ya nyuma na ya mbele zikiwa na 12MP inaweza kuchukua ikapiga picha kwa uzuri zaidi hata kwenye picha zenye lenzi kubwa.

Camera ya Tesla model
Hapa sasa Tesla wamefanya makubwa zaidi kwanza kabisa simu yake ina jumla ya camera nne ambapo camera ya mbele inauwezo wa 13MP na 16MP Kwa camera ya nyuma, Tesla pia ipo na uwezo wa kupiga picha katika anga wakati wa usiku na picha ikatoka safi zaidi yaani ikatoa picha ya anga na nyota zake kua na chenga.

pia katika kitu cha kuvutia zaidi kwenye hii simu ni kwamba unaweza ukatumia lenzi moja kupiga picha na bado ukatumia lenzi nyingine kuchukua video kwa wakati mmoja.

MUONEKANO:
Muonekano wa iphone13pro max

Iphone imeundwa na material grass kwa upande wa nyuma wa simu ambapo ni raisi sana kuvunjika kama ikidondoka ndio maana ni lazima upewe kasha la kufunika nyuma pale anaponunua simu na nyuma kuna logo kubwa ya tunda la Apple.

Muonekano wa Tesla model pi
Katika hizi simu utaona kuna stika kubwa kwa nyuma ambapo ubadilika rangi kama ikiwa imeakisiwa na mwanga wa jua ambapo muonekano huu unavutia sana watu.

JINSI YA KUCHAJI SIMU

Iphone13pro max
Hapa iphone wamenikosha kwanza wamekuja na chaja maalumu za wireless ambazo hauitaji kuchomeka waya wa kuchajia.

Tesla model pi...
Japokuwa tesla bado hawana wireless lakini wao wameziwekea solar system ambapo si lazima uwe na umeme bali unaweza kuchaji kwa kutumia jua kwa sababu hapa tufahamu pia kwamba wao wana husika pia katika uzalishaji wa umeme wa jua.

PROCESSING POWER

Iphone13pro max

Processor za iphone bila shaka zipo vizuri ukizingatia wao kila mwaka wanajitahidi kuboresha processor zao, kwa mfano kwa sasa simu zote mpya za iphone ziko na chip ya A15 Bionic ambayo ipo na uwezo mkubwa zaidi.

Tesla model pi..
Hapa wao Tesla hawajato taalifa zaidi juu ya chip zao LAKINI wanakuja na jambo KUBWA sana ambapo chip zao zinakuja uwezo mkubwa sana ambapo zitakuwa zinatumika wallet ya cryptocurrency yaana zitakuwa na uwezo wa kuchakata na kuzarisha pesa za kidigitali ambazo. Pia inadhihirisha wazi kwamba simu hizi zinakuja kuwa na uwezo mkubwa zaidi kuliko iphones kwani zitakuwa zinatumika na watu watakaoishi katika sayari ya Mars.

Kwasababu Elon Musk bado hajaacha mpango wake wa kupeleka watu wakaishi katika sayari ya Mars ambapo huko atatengeneza pesa ya kidigitali ambapo ndio itakuwa inatumika kwa manunuzi ya bidhaa mbalimbali. KWAIYO yeye kama yeye anataka kutengeneza pesa ya kidigitali ambayo ameiita jina la MARS COIN, kwahiyo hapa haijarishi mtu atakuwa yupo hapa Duniani au katika sayali ya MARS ataweza kutumia simu hii kama wallet hivyo ataweza kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali bila tatizo pasipo kuwa na kadi ya Benki.

Kwahiyo kwaajiri ya hii kazi ya cryptocurrency basi simu hizi zitahitaji ziwe processor yenye nguvu zaidi.
Bwana Elon Musk ajaishia hapo anatuletea teknokogy ya Oron ambapo atapandikiza kifaa kinaitwa Neurolink ambacho kitakuwa na uwezo wa kusoma akili ya binadamu ambao watakuwa wamepandikizwa chip maalumu, chip hiyo itakuwa na uwezo wa kugundua na kutibu magonjwa mbalimbali, pia kwa watu wenye matatizo ya kuongea chip hii itamsaidia kuandika mawazo yake na kuyachapisha katika katika mfumo wa maandishi

UUNGANISHWAJI NA SATELLITE

Iphone13pro max

Kwa ufupi ni kwamba simu za iphone13 hazijafanikiwa kuunganisha simu zake na satellite ili kuongeza kasi ya mtandao.

Tesla model pi
Hapa Bwana Elon amekuja na uzinduzi wa huduma mpya kabisa ambayo inaendele kupata umaarufu zaidi kila kukicha. huduma hiyo inaitwa "Starlink" ambapo hapa watu wanaweza kuunganisha internet zao na satellite jambo ambalo linaongeza kasi ya internet maradufu zaidi.

Kwakweli yapo mambo mengi sana yanayozitofautisha simu hizi mbili hivyo basi kama utakuwa na swali husisite ku comment [emoji116][emoji116][emoji116]

1_SRLjJfqLt0suY5DrSXP83A.jpg
 
Back
Top Bottom