Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

Hello my jf friends[emoji112] hii ni thread yangu ya kwanza nabandika hapa jukwaani lakini sio kwamba niko expert sana kwenye haya mambo ila ni passion tu ndo inanisukuma pia napenda kushare kama nilivyojitambulisha kule kwenye jukwaa la wageni niko na hobby zingine mbalimbali hivyo mtalajie mengi hasa hapa jukwaa la tech [emoji4]

so then let's go.... [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ndio inaitwa "Tesla Pi" nimeichunguza vizuri ipo bomba sana nimejaribu kuihusianisha na hii ya iphone hasa hii iphone13 pro nimeona upo utofauti ambao unadhihirisha kwamba ipo juu ya iphone.
Japokuwa yeye mwenyewe Bwana Steve Jobs alishafariki 2011 akiwa na miaka 56 baada ya kusumbuliwa sana na tatizo la kansa ya kongosho, nadhani kama angewa hai leo hii wala hasingekubari jambo hili litokee na huenda kampuni yake Apple ingefika mbali sana, Bwana Elon Musk yeye ni mzima wa afya akiwa na miaka 50 kwa sasa.

Sawa ngoja tuzichunguze kwa pamoja ujionee mwenyewe.
ila huyu huyu Elon Musk ni hatari sana anakuja vizuri hata hivyo ametuaidi mambo mengi sana na hata hii smarthpone yake inamaajabu mengi sana ngona tuone.

Hapa tutaichunguza iphone13 pro na tesla pi ambazo zote ni toleo jipya kwa sasa.

CAMERA
==>Camera ya Iphone13pro max ..
Hapa kwa upande wa camera simu zote mbili inaonesha kuwa na mfanano wa karibu sana, tukiangalia iphone yenyewe ipo na camera tatu ambazo zinauwezo wa kupiga picha kwa uzuri zaidi ambapo camera zote mbili yaana ya nyuma na ya mbele zikiwa na 12MP inaweza kuchukua ikapiga picha kwa uzuri zaidi hata kwenye picha zenye lenzi kubwa.
==> Camera ya Tesla model pia

Hapa sasa Tesla wamefanya makubwa zaidi kwanza kabisa simu yake ina jumla ya camera nne ambapo camera ya mbele inauwezo wa 13MP na 16MP Kwa camera ya nyuma, Tesla pia ipo na uwezo wa kupiga picha katika anga wakati wa usiku na picha ikatoka safi zaidi yaani ikatoa picha ya anga na nyota zake kua na chenga.

pia katika kitu cha kuvutia zaidi kwenye hii simu ni kwamba unaweza ukatumia lenzi moja kupiga picha na bado ukatumia lenzi nyingine kuchukua video kwa wakati mmoja.

MUONEKANO:
==> muonekano wa iphone13pro max..
Iphone imeundwa na material grass kwa upande wa nyuma wa simu ambapo ni raisi sana kuvunjika kama ikidondoka ndio maana ni lazima upewe kasha la kufunika nyuma pale anaponunua simu na nyuma kuna logo kubwa ya tunda la Apple.

==> Muonekano wa Tesla model pi..
katika hizi simu utaona kuna stika kubwa kwa nyuma ambapo ubadilika rangi kama ikiwa imeakisiwa na mwanga wa jua ambapo muonekano huu unavutia sana watu.

JINSI YA KUCHAJI SIMU
==>Iphone13pro max
Hapa iphone wamenikosha kwanza wamekuja na chaja maalumu za wireless ambazo hauitaji kuchomeka waya wa kuchajia.

==>Tesla model pi...
Japokuwa tesla bado hawana wireless lakini wao wameziwekea solar system ambapo si lazima uwe na umeme bali unaweza kuchaji kwa kutumia jua kwa sababu hapa tufahamu pia kwamba wao wana husika pia katika uzalishaji wa umeme wa jua.

PROCESSING POWER
==> Iphone13pro max
Processor za iphone bila shaka zipo vizuri ukizingatia wao kila mwaka wanajitahidi kuboresha processor zao, kwa mfano kwa sasa simu zote mpya za iphone ziko na chip ya A15 Bionic ambayo ipo na uwezo mkubwa zaidi.

==>Tesla model pi..

Hapa wao Tesla hawajato taalifa zaidi juu ya chip zao LAKINI wanakuja na jambo KUBWA sana ambapo chip zao zinakuja uwezo mkubwa sana ambapo zitakuwa zinatumika wallet ya cryptocurrency yaana zitakuwa na uwezo wa kuchakata na kuzarisha pesa za kidigitali ambazo. Pia inadhihirisha wazi kwamba simu hizi zinakuja kuwa na uwezo mkubwa zaidi kuliko iphones kwani zitakuwa zinatumika na watu watakaoishi katika sayari ya Mars.

Kwasababu Elon Musk bado hajaacha mpango wake wa kupeleka watu wakaishi katika sayari ya Mars ambapo huko atatengeneza pesa ya kidigitali ambapo ndio itakuwa inatumika kwa manunuzi ya bidhaa mbalimbali. KWAIYO yeye kama yeye anataka kutengeneza pesa ya kidigitali ambayo ameiita jina la MARS COIN, kwahiyo hapa haijarishi mtu atakuwa yupo hapa Duniani au katika sayali ya MARS ataweza kutumia simu hii kama wallet hivyo ataweza kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali bila tatizo pasipo kuwa na kadi ya Benki. Kwahiyo kwaajiri ya hii kazi ya cryptocurrency basi simu hizi zitahitaji ziwe processor yenye nguvu zaidi.
Bwana Elon Musk ajaishia hapo anatuletea teknokogy ya Oron ambapo atapandikiza kifaa kinaitwa Neurolink ambacho kitakuwa na uwezo wa kusoma akili ya binadamu ambao watakuwa wamepandikizwa chip maalumu, chip hiyo itakuwa na uwezo wa kugundua na kutibu magonjwa mbalimbali, pia kwa watu wenye matatizo ya kuongea chip hii itamsaidia kuandika mawazo yake na kuyachapisha katika katika mfumo wa maandishi

UUNGANISHWAJI NA SATELLITE.:
==> Iphone13pro max..
Kwa ufupi ni kwamba simu za iphone13 hazijafanikiwa kuunganisha simu zake na satellite ili kuongeza kasi ya mtandao.
==>Tesla model pi..
Hapa Bwana Elon amekuja na uzinduzi wa huduma mpya kabisa ambayo inaendele kupata umaarufu zaidi kila kukicha. huduma hiyo inaitwa ""Starlink"" ambapo hapa watu wanaweza kuunganisha internet zao na satellite jambo ambalo linaongeza kasi ya internet maradufu zaidi.
Kwakweli yapo mambo mengi sana yanayozitofautisha simu hizi mbili hivyo basi kama utakuwa na swali husisite ku comment [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2242853
Sidhani kama ni kweli, hii habari ipo muda sana ni fake news kama fake nyingine.
 
Elon ndo Steve ajae tumuungishe tuachane na hizi takataka za apple maana wameshindwa kujiongeza. Ukiangalia iphone 11 hadi 13 tofauti ni ndogo sana.
 
Elon ndo Steve ajae tumuungishe tuachane na hizi takataka za apple maana wameshindwa kujiongeza. Ukiangalia iphone 11 hadi 13 tofauti ni ndogo sana.
apple wanapuyanga ila ukikaa na kuangalia mbadala utakutana na samsung kutoka android,ambaye nayeye hamkabi sawa sawa,anamshika kwenye design,camera na kioo tu.

sasa yeye anatakiwa akabe kote kote,ila tutegemee simu za $1700
 
kwanza me apple sizipendi tu yan
 
ni kwel kaka kajarb tu kufanya research utaona
Hiyo simu yani hizo rumours na picha hazijaanza leo yani miaka tu zipo suku zote but always ni fake tu.
Na hata kama ingekuwepo, kama ina run android bado apple ataendelea kukimbiza maana it will just be another android phone. Na kuja na OS mpya still bado ni kazi maana hata zilizojaribu hazifanyi poa android na ios ndo dominant
 
Biashara ya smartphones sio rahisi kama unafungua kiosk.

Huyo Elon hawezi fanya hiyo biashara, labda iwe hobby tu.

Makampuni makubwa yamekufa memgine wameishia kuuza mobile division zao kwa kushindwa hii biashara.
 
Well said mkuu, jamaa kakutana na fake posts hizi
 
Sina uhakika juu ya ishu ya simu ila Jamaa huyo ni mtu anayetumia akili sana. Anayo huduma ya starlink. Yaani ni internet kupitia satellite. Ipo sehemu mbalimbali na mpaka sasa amepata leseni nigeria na msumbiji. Siku ikifika bongo itakuwa kamseleleko kwa speed ila bei ni changamoto
 
Hiyo simu yani hizo rumours na picha hazijaanza leo yani miaka tu zipo suku zote but always ni fake tu.
Na hata kama ingekuwepo, kama ina run android bado apple ataendelea kukimbiza maana it will just be another android phone. Na kuja na OS mpya still bado ni kazi maana hata zilizojaribu hazifanyi poa android na ios ndo dominant
kaka elon sio mtu wa ivo kama unavyo mu underrate huyu jamaa ni habar nyingine
hii simu ni habar nyingine kabisa sio hiz takataka
ngoja nikupe kionjo kidogo.... [emoji116][emoji116][emoji116]

'' The phone will support Starlink satellite internet. The developers will declare that the data download speed will be up to 210 megabits per second. Incidentally it could not use IOS as only Apple phones can use that Apple Operating System. Android can be used freely by anyone. I can only therefore assume that Elon Musk will have written their own Operating System no doubt similar to the Operating system used in all Tesla Vehicles.''

pia naomba mchukue time kidogo kumpitia huyu jamaa pia na project zake mutanielewa tu ni shida sana huwez mfananisha na huyo Jobs
 
Hakuna jambo kama hili, hizi speculations tu za mashabiki na watafta traffic.
 
Back
Top Bottom