Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

Sidhani kama ni kweli, hii habari ipo muda sana ni fake news kama fake nyingine.
 
Elon ndo Steve ajae tumuungishe tuachane na hizi takataka za apple maana wameshindwa kujiongeza. Ukiangalia iphone 11 hadi 13 tofauti ni ndogo sana.
 
Elon ndo Steve ajae tumuungishe tuachane na hizi takataka za apple maana wameshindwa kujiongeza. Ukiangalia iphone 11 hadi 13 tofauti ni ndogo sana.
apple wanapuyanga ila ukikaa na kuangalia mbadala utakutana na samsung kutoka android,ambaye nayeye hamkabi sawa sawa,anamshika kwenye design,camera na kioo tu.

sasa yeye anatakiwa akabe kote kote,ila tutegemee simu za $1700
 
kwanza me apple sizipendi tu yan
 
ni kwel kaka kajarb tu kufanya research utaona
Hiyo simu yani hizo rumours na picha hazijaanza leo yani miaka tu zipo suku zote but always ni fake tu.
Na hata kama ingekuwepo, kama ina run android bado apple ataendelea kukimbiza maana it will just be another android phone. Na kuja na OS mpya still bado ni kazi maana hata zilizojaribu hazifanyi poa android na ios ndo dominant
 
Biashara ya smartphones sio rahisi kama unafungua kiosk.

Huyo Elon hawezi fanya hiyo biashara, labda iwe hobby tu.

Makampuni makubwa yamekufa memgine wameishia kuuza mobile division zao kwa kushindwa hii biashara.
 
Well said mkuu, jamaa kakutana na fake posts hizi
 
Sina uhakika juu ya ishu ya simu ila Jamaa huyo ni mtu anayetumia akili sana. Anayo huduma ya starlink. Yaani ni internet kupitia satellite. Ipo sehemu mbalimbali na mpaka sasa amepata leseni nigeria na msumbiji. Siku ikifika bongo itakuwa kamseleleko kwa speed ila bei ni changamoto
 
kaka elon sio mtu wa ivo kama unavyo mu underrate huyu jamaa ni habar nyingine
hii simu ni habar nyingine kabisa sio hiz takataka
ngoja nikupe kionjo kidogo.... [emoji116][emoji116][emoji116]

'' The phone will support Starlink satellite internet. The developers will declare that the data download speed will be up to 210 megabits per second. Incidentally it could not use IOS as only Apple phones can use that Apple Operating System. Android can be used freely by anyone. I can only therefore assume that Elon Musk will have written their own Operating System no doubt similar to the Operating system used in all Tesla Vehicles.''

pia naomba mchukue time kidogo kumpitia huyu jamaa pia na project zake mutanielewa tu ni shida sana huwez mfananisha na huyo Jobs
 
Hakuna jambo kama hili, hizi speculations tu za mashabiki na watafta traffic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…