Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii kati ya Mchina na Tesla nani alianza?
Tujikumbushe pia ni mzungu.Tujikumbushe pia Elon amezaliwa hapo Pretoria tu, wala sio mbali.
Huyu jamaa ana projects nyingi sana ila almost zote ni maneno tu . Alisema atatengeneza miwani inayofanya vipofu waone, aliahidi atatengeneza magari yanayopaa kama ndege pia alisema gari zake za tesla zitaweza kutumika kama boti. Alisema atasafirisha binadamu laki moja kwenda sayari ya mars. Ana ahadi nyingi sana Huyu jamaa ukifatilia ni mtu wa porojo sana ila anaaminika kwasababu ni mzungu.Elon si ana project ya kwenda Mars au?
Matokeo huanza na wazo, helicopter tunazoziona leo zilianzia kwenye wazo la mtu ambaye allishia njiani kabla ya kulikamilisha,na waliofuata waliendeleza wazo hilo hadi kulifikisha hapa lilipo, na kuna wengine wataendelea kulisongesha hadi mahali ambapo hakuna anayedhani kuwa ingewezekana, relaxHuyu jamaa ana projects nyingi sana ila almost zote ni maneno tu . Alisema atatengeneza miwani inayofanya vipofu waone, aliahidi atatengeneza magari yanayopaa kama ndege pia alisema gari zake za tesla zitaweza kutumika kama boti. Alisema atasafirisha binadamu laki moja kwenda sayari ya mars. Ana ahadi nyingi sana Huyu jamaa ukifatilia ni mtu wa porojo sana ila anaaminika kwasababu ni mzungu.
Na ndiyo tayari ushabifikia 45+Hadi natamani niishi sana..
Yah upo sahihi kabisa. elon musk ni mtu wa mawazo sio kutenda . Ana mawazo mengi sana ila karibu yote yanaishia kuwa mawazo tu na sio vitendo na uhalisia.Matokeo huanza na wazo, helicopter tunazoziona leo zilianzia kwenye wazo la mtu ambaye allishia njiani kabla ya kulikamilisha,na waliofuata waliendeleza wazo hilo hadi kulifikisha hapa lilipo, na kuna wengine wataendelea kulisongesha hadi mahali ambapo hakuna anayedhani kuwa ingewezekana, relax
Tumpe muda ,kila kitu kinaanza na mawazo,hata miaka hiyo kabla mobile phone haijaanza kutumika ,waona mbali walisema miaka ijayo mtu atakuwa ana uwezo wa kutembea na simu kwenye mfuko wa suruali wengi walikuwa hawaamini maana simu ya mwanzo ilikuwa inajaa chumba cha mita 5 kwa 5.Huyu jamaa ana projects nyingi sana ila almost zote ni maneno tu . Alisema atatengeneza miwani inayofanya vipofu waone, aliahidi atatengeneza magari yanayopaa kama ndege pia alisema gari zake za tesla zitaweza kutumika kama boti. Alisema atasafirisha binadamu laki moja kwenda sayari ya mars. Ana ahadi nyingi sana Huyu jamaa ukifatilia ni mtu wa porojo sana ila anaaminika kwasababu ni mzungu.
Vitu tunavyotumia sasa babu zetu walisema kwa bongo haiwezekaniKwa bongo haziwezi survive
sass mkuu gari haina steering wala breki pedal inaenda vp huko barabarani na pia huko kujiendesha yenyewe si inaweza kugongwa na watumiaji wa magari mengine barabarani.!Pia, hii huduma ipo kwa makampuni mengine mfano Baiduu (China) na Waymo (USA), tatizo ni kwamba wao hawana hardware.
Waymo ba Baiduu wao wanaweza chukua Toyota Prius hafu wakainstall software yao ikawa robotaxi.
Ila Cybercab ni totally Robotaxi yaani haina steering kabisa.
Mawazo kama hayo yapo mengi tu na yamesajiliwaHuyu jamaa ana projects nyingi sana ila almost zote ni maneno tu . Alisema atatengeneza miwani inayofanya vipofu waone, aliahidi atatengeneza magari yanayopaa kama ndege pia alisema gari zake za tesla zitaweza kutumika kama boti. Alisema atasafirisha binadamu laki moja kwenda sayari ya mars. Ana ahadi nyingi sana Huyu jamaa ukifatilia ni mtu wa porojo sana ila anaaminika kwasababu ni mzungu.