Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #41
Inaendeshwa kwa ADAS (Advanced Driving Assistance System) level 5 ambayo ni full autonomous.sass mkuu gari haina steering wala breki pedal inaenda vp huko barabarani na pia huko kujiendesha yenyewe si inaweza kugongwa na watumiaji wa magari mengine barabarani.!
Gari inakua na sensors, camera na LiDAR mbalimbali nje na ndani zinazosaidia gari kuongeza speed, kupunguza, kusimama au kukata kona.
Hii waliyozindua hawajasema idadi, ila mfano Model 3 ina sensors 12, camera 8, ultrasonic sensora kadhaa na radar kadhaa za kuona kwenye fog na mvua kali.