Elon Musk amezindua TESLA Cybercab na Robovan: Gari za kukodi zisizo na Dereva!

sass mkuu gari haina steering wala breki pedal inaenda vp huko barabarani na pia huko kujiendesha yenyewe si inaweza kugongwa na watumiaji wa magari mengine barabarani.!
Inaendeshwa kwa ADAS (Advanced Driving Assistance System) level 5 ambayo ni full autonomous.

Gari inakua na sensors, camera na LiDAR mbalimbali nje na ndani zinazosaidia gari kuongeza speed, kupunguza, kusimama au kukata kona.

Hii waliyozindua hawajasema idadi, ila mfano Model 3 ina sensors 12, camera 8, ultrasonic sensora kadhaa na radar kadhaa za kuona kwenye fog na mvua kali.
 
Nadhani itatengenezewa njia yake kama mwendokasi
 
Haujaeleza itaendeshwaje!

Halafu pesa ya ukwasi dollar 30,000 unaandika $30000 tu kama unataja pesa ya madafu!

Hiyo fedha si haba, ni fedha ndefu sana kuweza kuinunua.
 
Haujaeleza itaendeshwaje!

Halafu pesa ya ukwasi dollar 30,000 unaandika $30000 tu!

Hiyo fedha si haba, ni fedha ndefu sana kuweza kuinunua.
Nimeelezea hapo juu.

Nacopy na kupaste:

Inaendeshwa kwa ADAS (Advanced Driving Assistance System) level 5 ambayo ni full autonomous.

Gari inakua na sensors, camera na LiDAR mbalimbali nje na ndani zinazosaidia gari kuongeza speed, kupunguza, kusimama au kukata kona.

Hii waliyozindua hawajasema idadi, ila mfano Model 3 ina sensors 12, camera 8, ultrasonic sensora kadhaa na radar kadhaa za kuona kwenye fog na mvua kali.
 
Haujaeleza itaendeshwaje!

Halafu pesa ya ukwasi dollar 30,000 unaandika $30000 tu kama unataja pesa ya madafu!

Hiyo fedha si haba, ni fedha ndefu sana kuweza kuinunua.
Kuhusu kununua, hii ni robotaxi sio gari ya kununua ili uende nayo kazini ni gari unanunua zinakua zako (yako) kama gari ya Uber.

Sasa badala ya kumpa dereva aendeshe inakua inajiendesha yenyewe.

Kwahiyo mtu mmoja from home anakua anazimonitor gari ata 10.
 
Duuh wenzetu wapo mbali ,,mpaka hii technology ifike kwetu mda utakuwa umeenda sana
Mchawi miundombinu. Sehemu za kuchaji na barabara zetu.

Hii gari kujiendesha inafuata alama za barabarani sasa sisi unafika mataa unakuta trafiki amesimama anaongoza magari wakati taa zizpo.
 
Kaishafanya zotekasoro ya gari kupaa tu
 
sass mkuu gari haina steering wala breki pedal inaenda vp huko barabarani na pia huko kujiendesha yenyewe si inaweza kugongwa na watumiaji wa magari mengine barabarani.!
Tafuta clip moja ya mpoki huko youtube aliipanda na kuanza kuonesha madoido.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…