Elon Musk ampiga 'ban' Kanye West

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Account ya Kanye West ya Twitter imekuwa suspended kwa madai kuwa amevunja sheria za twitter na kuandika lugha inayoashiria uvunjifu wa amani.


Asubuhi ya December 2, Kanye alipost picha ya Elon akiwa anamwagiwa maji mwili wake ukiwa mnene tofauti na alivyo sasa, na aliandika kuwa hiyo ni post yake ya mwisho.

Elon Musk amekana kuwa picha hiyo ndio ilimfanya amfungie Kanye badala yake ni suala la Kanye kuvunja sheria za twitter.

Kanye West siku kadhaa zilizopita alifungiwa kutumia Instagram na Facebook baada ya kutoa lugha mbaya kwa waisrael.

Baada ya kumlima Ban, Elon akatweet neno FAFO (F*ck Around & Find Out) kwa kiswahili kisicho Rasmi, Zingua Uone
 
Baada ya Michael Jackson nadhani kwa sasahivi anaetafutiwa sababu ni Kanyewest.. Tokea amekoka Dunia nyingine imekua ikimuendea kombo vibaya mno..

Mara waseme anamatatizo Ya akili n.k..

All in all Elon na Kanyewest ni marafiki sana.. Isije kuwa bwana Elon kaona kuwa karibu na Elon kunaweza kumuangusha kupitia vikwazo vya wayahudi wa mchongo
 
Huwa sioni baya la Kanye

Labda kwasababu nampenda sana
Music genius sema anapanic kijinga sana. Hapa nakumbuka alivyopanic na kujibu mbaya kwa Wiz Khalifa baada ya Wiz kupost neno KK akimaanisha bangi zake (Wiz) na Kanye akajua jamaa anamzungumzia Kim Kadarshian
 

Huyu Ari ni Nani?jina la kiyahudi hili...naona Kanye kama anajaribu kusema Elon Yuko influenced na wayahudi?
 

True
 
Hahahahah si Musk alisema anataka free speech platform!
Leo anaanza kuwapiga bani wenzake...
Kanye, Musk kuna mahali wanapwaya wote
 
Picha hiyo akimwagiwa maji kisogoni na dume mwenzue inamaanisha nini
 
Kanye anapenda kuongelewa kila kona anaharibu makusudi tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila binti yake aitwae chicago a.k.a chichi kazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…