Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Account ya Kanye West ya Twitter imekuwa suspended kwa madai kuwa amevunja sheria za twitter na kuandika lugha inayoashiria uvunjifu wa amani.
Asubuhi ya December 2, Kanye alipost picha ya Elon akiwa anamwagiwa maji mwili wake ukiwa mnene tofauti na alivyo sasa, na aliandika kuwa hiyo ni post yake ya mwisho.
Elon Musk amekana kuwa picha hiyo ndio ilimfanya amfungie Kanye badala yake ni suala la Kanye kuvunja sheria za twitter.
Kanye West siku kadhaa zilizopita alifungiwa kutumia Instagram na Facebook baada ya kutoa lugha mbaya kwa waisrael.
Baada ya kumlima Ban, Elon akatweet neno FAFO (F*ck Around & Find Out) kwa kiswahili kisicho Rasmi, Zingua Uone