Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

Ndiyo usimlaumu sana magraduate lawama ni serikali zetu
Ideas nyingi za vijana zinakufa kwa kuwa hawapati support
Lakini kungekuwa na sekta kwa ajili ya maswala hayo ya kudeal na gunduzi kwamba unafika unawaeleza maprofesa wenye fani inayoendana na Jambo lako na wakijiridhisha na idea yako wanaandika proposal ufadhili utoke kwa kila unachohitaji kufanikisha jambo lako
Unawazungumzia maprofesa hawa wanajiusisha na siasa au unawazungumzia maprofesa wa wapi?
 
Alisema auze hizo hisa kuna atakaye nunua??
Yes wapo watakaonunua kwa sababu kuna anticipated gain wanayotegemea kupata endapo kampuni itaingiza faida, lakini pia, endapo kampuni ikiingiza hasara na wao watapata hasara, hivyo ununuaji wake ni wa kwa machale machale, huo utajiri wake sio clear cut kama unavyoweka humu
 
Sasa mkuu watakao nunua watanunua kwa bei gani yani maana kwa utajiri wake wa $188b ...unadhani kuna atakayeweza ku afford kununua hizo hisa kweli?
 
Wee hata uweleweki mantiki yako kwani tajiri gani ana sifa hizo unazosema wote wanasaminishwa na hisa duniani alafu usifikiri kwamba hata hizo kampuni hisa zikifeli hadi zero ndio watakuwa sio matajiri kwa utajiri wa Dollar 190 Billion hakosi kuwa na cash ya matrillion ya pesa kwa account s
 
Hisa zinagawanywa nankuwa nyingi, unaweza kuta hisa moja inauzwa labda laki 5
 
Wee hata uweleweki mantiki yako kwani tajiri gani ana sifa hizo unazosema wote wanasaminishwa na hisa duniani alafu usifikiri kwamba hata hizo kampuni hisa zikifeli hadi zero ndio watakuwa sio matajiri kwa utajiri wa Dollar 190 Billion hakosi kuwa na cash ya matrillion ya pesa kwa account s
Huo utajiri unaotajwa unajumuisha cash pia walizonazo bank, ofcourse, mengine sijakuelewa
 
Yani wewe sidhani kama hata una uwezo wa kununua zile hisa za voda za mia tano tano zile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia wewe...Au nikuoneshe stocks zangu za amazon na Apple nazomiliki?
 
Zilikuwepo tangu miaka ya 1900 mwanzoni, kilichozitoa sokoni ni kushuka kwa gharama za mafuta (petrol na diesel). Hawa wamezifufua tena kwa kuboresha teknolojia.
Picha chini ni gari ya mwaka 1898 aina ya Porsche (mbunifu akiwa ni Ferdinand Porsche)
Chanzo: The history of Porsche begins electrically
upya walioufanya ni kuuendeleaza hizo electrochemical batteries na kufanya precisely rectification.
 
Back
Top Bottom