Kwa kweli kwa nature ya afrika nasema kuwa ni ngumu sana au ni kama haiwezekani kufika walipofika hawa wenzetu,safari unaona kabisa ni ndefu na yenye miba huku tukizungukwa na simba wakali....ulafi, tamaa, ubabe wa ajabu ndo yote hayo waafrika daaaahh so sad kwa kweli wenzetu wamefanikiwa na niwaachie iki kitu tu "when you control your thoughts you control your mind, when you control your mind you control your life, once you reach a stage of being in a total control of your life you became the master of your own destine"