Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

Unawazungumzia maprofesa hawa wanajiusisha na siasa au unawazungumzia maprofesa wa wapi?
 
Alisema auze hizo hisa kuna atakaye nunua??
Yes wapo watakaonunua kwa sababu kuna anticipated gain wanayotegemea kupata endapo kampuni itaingiza faida, lakini pia, endapo kampuni ikiingiza hasara na wao watapata hasara, hivyo ununuaji wake ni wa kwa machale machale, huo utajiri wake sio clear cut kama unavyoweka humu
 
Sasa mkuu watakao nunua watanunua kwa bei gani yani maana kwa utajiri wake wa $188b ...unadhani kuna atakayeweza ku afford kununua hizo hisa kweli?
 
Wee hata uweleweki mantiki yako kwani tajiri gani ana sifa hizo unazosema wote wanasaminishwa na hisa duniani alafu usifikiri kwamba hata hizo kampuni hisa zikifeli hadi zero ndio watakuwa sio matajiri kwa utajiri wa Dollar 190 Billion hakosi kuwa na cash ya matrillion ya pesa kwa account s
 
Sasa mkuu watakao nunua watanunua kwa bei gani yani maana kwa utajiri wake wa $188b ...unadhani kuna atakayeweza ku afford kununua hizo hisa kweli?
Hisa zinagawanywa nankuwa nyingi, unaweza kuta hisa moja inauzwa labda laki 5
 
Huo utajiri unaotajwa unajumuisha cash pia walizonazo bank, ofcourse, mengine sijakuelewa
 
Yani wewe sidhani kama hata una uwezo wa kununua zile hisa za voda za mia tano tano zile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia wewe...Au nikuoneshe stocks zangu za amazon na Apple nazomiliki?
 
upya walioufanya ni kuuendeleaza hizo electrochemical batteries na kufanya precisely rectification.
 
najua tu magari ya umeme na ana mambo ya satellites
Sio tuu magari ya umeme, sema kampuni kubwa ya magari duniani, soon Toyota hatoona ndani. SpaceX, Starlink, The boring co, Solarcity, Neurolink, Starship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…