Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

Neurolink inadili na nini mkuu?
 
Similarily, shares zinaweza kushuka kwa 90% toka zilipo sasa ndani ya mwaka mmoja na akarudi alikotoka, sivyo? Maana anything is only as worth as what people are willing to pay for it, sivyo?
Anakuja kuwa tajiri wa kudumu kwa sababu kumbuka dunia inakuja kuhama kutoka kwenye kutumia magari ya mafuta kwenda kwenye kutumia magari ya umeme na yeye ameshawahi kwenye soko tayari.Maana yake makampuni yatakayokuja kushindana nae yatapata changamoto kubwa sana!
 
Mkuu huku kwetu hakuna wanasayansi ila kuna waliosoma sayansi!
Mkuu wangu kila jamii hata zile za kijima (Primitive Societies) zina wanasayansi wengi,
Tatizo ni kwamba mkoloni aliua viwanda asilia na sisi baada ya uhuru tumevikacha,
Tukataka tuige kila kitu kutoka kwa wenzetu, jambo zuri lakini nadhani ni gumu.
 
Sasa hivi ana fanya inovation kwenye electric cars, solar and clean energy, magari yake yanayotumia umeme aina ya TESLA . Jamaa yuko vizuri nilimsikia akiwaambia matajiri wenzie wasitumie muda mwingi kwenye PPT, wakati matajiri wetu hata PPT hawajui ziko vipi.
 
Ni kwa jinsi gani hivyo vitu ni pesa? Kwenda Mars?

Wateja wake wako wapi?
Kama hili swali ni jepesi kwako,hebu lijibu fasta.
 
Ni kwa jinsi gani hivyo vitu ni pesa? Kwenda Mars?

Wateja wake wako wapi?
Kama hili swali ni jepesi kwako,hebu lijibu fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…