Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

Ulaya wanasayansi ndo matajiri huku kwetu wanasayansi ni maskini wa kutupwa .....utashangaa mtu wa mipango pale NHC anakula pesa ndefu kuliko Architecture..so sad
Sii ujinga wetu wakusema graduates wajiajiri ...watu na masters anaendesha bajaj alafu tunasema kajiongeza upuuzi mtupu.

Sie ubunifu wetu ni wa survival mode wenzetu ni wamaendeleo na maendelea yanaletwa na watu kufanya kazi kulingana na kile walichosomea
 
Mkuu wangu kila jamii hata zile za kijima (Primitive Societies) zina wanasayansi wengi,
Tatizo ni kwamba mkoloni aliua viwanda asilia na sisi baada ya uhuru tumevikacha,
Tukataka tuige kila kitu kutoka kwa wenzetu, jambo zuri lakini nadhani ni gumu.

I second this.
 
Sayansi ya kwetu ya asili inapigwa vita.

Mfano ili suala la " kusafiri kwa ungo kutoka Sumbawanga kwenda Tanga" ingeimarishwa na kuboreshwa,Wazungu ,Waarabu na hata dunia nzima wangetupigia magoti maana gharama ya dizeli, petroli na usafiri zingeshuka.!
 
Hahaha. Wewe ambaye huoti teuzi umefikia wapi katika kutengeneza satellite ya kitanzania.
Ile nimeingia PCB Advance, nikakutana na Chemical Kinetics & Equilibrium na Organic Chemistry zimevimbaaaa!
Nikasema shida ya nini kufia shule kisa kumfurahisha baba, asubuhi nikajibebea mizigo yangu nikakimbia shule.
Hivyo mimi siyo mwanasayansi kama Dr Kigwangala au Prof Joyce Ndalichako waliopewa teuzi.
 
Huyo jamaa yeye anaproject kubwa anafaya ya spiceX na pia anatengeneza vifaa mbalimbali vya spice.
Pia jamaa anatengeza gari za kuchaji,wanaziita Tesla Cars.
Vitu vingine jaribu google kaka.
Spice?? Ha ha ha ha! Rafiki, na wewe si unge google ?
 
Ile nimeingia PCB Advance, nikakutana na Chemical Kinetics & Equilibrium na Organic Chemistry zimevimbaaaa!
Nikasema shida ya nini kufia shule kisa kumfurahisha baba, asubuhi nikajibebea mizigo yangu nikakimbia shule.
Hivyo mimi siyo mwanasayansi kama Dr Kigwangala au Prof Joyce Ndalichako waliopewa teuzi.
Hahaha. Natania tu Mkuu. Ila concern yako ni ya msingi. Ipo shida katika mfumo wetu elimu. Tunahitaji reform ili uchochee ubunifu na kujiajiri.
 
Huyo jamaa ana bidhaa gani au huduma gani ya kumpa utajiri huo? Wateja wake in kina nani? Kama simuamini amini
Akina PayPal, SpaceX, Tesla/magari yatumiayo umeme inshort jamaa huyu engineer msouth Africa licha ya kudrop kw
a makampuni yake several times ila n visionary mzuri sana.
 
Back
Top Bottom