Yah jamaa yuko vizuri. Angeendelea kuishi Afrika asingefikia alipofilia
Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20 au 21?Elon musk,
Ni miongoni mwa wasayansi bora kuwahi kuishi karne ya 20
Umenena vemaSii ujinga wetu wakusema graduates wajiajiri ...watu na masters anaendesha bajaj alafu tunasema kajiongeza upuuzi mtupu.
Sie ubunifu wetu ni wa survival mode wenzetu ni wamaendeleo na maendelea yanaletwa na watu kufanya kazi kulingana na kile walichosomea
Sio waliosoma sayansi , Bali waliosoma historia ya sayansiMkuu huku kwetu hakuna wanasayansi ila kuna waliosoma sayansi!
Solo la hisa au Soko?Dakika 37 zilizopita majarida maarufu ya kibiashara nchi Marekani yalitangaza kuwa Bw Elon Musk kuwa ndio mtu tajiri zaidi duniani akimpita CEO wa Amazon Jeff Bezos.
Solo la hisa za makampuni ya Elon Musk mmiliki wa kampuni la Kiteknolojia la SpaceX linalijishughulisha na Safari za anga, Boring Company, na mengine meengi yamepanda kwa Kasi Sana na kumfanya mtu tajiri zaidi duniani kufikia dola za kimarekani BILIONI 190, huku Jeff Bezos akiwa na $188. Na nafasi ya tatu akiwa Bill Gates
Ndoto za Elon Musk; katika mahojiano yake na kituo Cha televisheni aliwahi kusema kuwa ili ndoto zake zitimie ni lazima ahamie nchini Marekani, hivyo alifanya kila namna ahame nchini Afrika Kusini kwenda Marekani japo wazazi wake hawakupenda.
1. NDOTO YAKE YA KUTOA HUDUMA YA INTERNET BURE DUNIA NZIMA.
Mpaka Sasa kampuni take ya safari za anga SpaceX imefanikiwa ku'install' satelitte zaidi ya sitini na alipohojiwa alikiri kuwa na ndoto za kutoa huduma za data bure miaka ya usoni
2. NDOTO YA KUHIFADHI KUMBUKUMBU ZA WATU KIELEKTRONIKI
Pia billionea huyu mtaalam wa programu za kompyuta Ali"launch" project ya kuhifadhi kumbukumbu za binadamu kwa njia ya data kwa kutengeneza mfumo wa chips ambazo zitaweza kuzifanya kompyuta iwasiliane na ubongo na kuchukua taarifa
3. KUITAWALA SAYARI YA MARS
Pia kampuni ya spaceX wanafanikiwa Sana Safari za kwenda sayari ya Mars na kufanya tafiti za mbali,. Yeye alitumia misamiati wa "aim to colonize Mars" .
Achana na Teknolojia aisee
Huyo ndio Elon Musk
Hamna shida MALCOM LUMUMBAThere'll be miracles when you believe Mr Rumplelstiltskin,
Wish you all the best, unikumbuke kwenye ufalme wako.
Utakuwa humjui vizuri mzee wa space X, wa nyumbani.Umeipata wapi hii boss
Uhusiano wakufuatiliwa na kuwa tajiriHuyu jamaa inawezekana ndani ya mwaka mmoja utajiri wake ukatripple maana anafuatiliwa sana na watu halafu cha ajabu huwa hatangazi bidhaa zake kama kampuni nyingine
Noma sana tama kujua kuhusu hizo mambo za hisa, yaani unaeza kuta mtu anapiga pesa yule kwa kitandaShares of Tesla are up another 4.2% today and with that, Tesla CEO Elon Musk has passed Jeff Bezos to become the world's richest person, according to Bloomberg calculations. His net worth is $188 billion dollars, about $1.5 billion more than Bezos.
In the past 12 months, Musk's net worth has risen by more than $150 billion on a 750% rise in Tesla's share price. He owns 20% of the company but also holds options that are now worth $42 billion.
The Tesla chart is breathtaking
![]()
Tesla is now the world's sixth-largest company.
It's not just Musk, the 500 richest people in the world added 31% to their wealth last year, according to Bloomberg
---
Elon Musk mwenyewe aliwaambia hivyo wafanyakazi wake.Similarily, shares zinaweza kushuka kwa 90% toka zilipo sasa ndani ya mwaka mmoja na akarudi alikotoka, sivyo? Maana anything is only as worth as what people are willing to pay for it, sivyo?
Umenifungua macho mkuuBro huyu jamaa Ni next Level Project zake si za kimchezomchezo...
1. Space X inahusika na kurusha Satellite na wanaanga anga za Juu kwa malipo.
2. Tesla Inc Magari ya umeme batteries na Solar Panel.
3. Boring kuchimba njia za Ardhin
4. Neurolink
5. Wengine waongezee
Wakasema ni dhambi! Africa balaa tupu.Sayansi ya kwetu ya asili inapigwa vita.
Mfano ili suala la " kusafiri kwa ungo kutoka Sumbawanga kwenda Tanga" ingeimarishwa na kuboreshwa,Wazungu ,Waarabu na hata dunia nzima wangetupigia magoti maana gharama ya dizeli, petroli na usafiri zingeshuka.!
Hizo concept zipogi tokea 1950's na zilivumbuliwa uko ujeruman zilikua zinasubiri tu mdaila kwenye hii dunia kuna vipaji vya ajabu!Imagine Elon Musk alijua vipi kuwa gari zinazotumia umeme ndiyo future cars?!