Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

Sayansi ya kwetu ya asili inapigwa vita.

Mfano ili suala la " kusafiri kwa ungo kutoka Sumbawanga kwenda Tanga" ingeimarishwa na kuboreshwa,Wazungu ,Waarabu na hata dunia nzima wangetupigia magoti maana gharama ya dizeli, petroli na usafiri zingeshuka.!
Hahahahaha
 
Maisha ni Vita Ukilemaa Wanaume Wanakuketisha.

Najaribu kukumbuka jinsi Carlos Slim yule m mexico alivyosumbua 2007 - 2010’s saa hivi hata top 10 hayupo.

Wana tufanyeni kazi....Anything is Possible.

Na jinsi 10 - 15 years ago Mark Zuckerberg alikua hata hajulikani saa hivi yumo top 5.

Haijalishi uliosoma nao shule wamekutangulia vp amini every dog has his day.

Piga Kazi.
 
Zilikuwepo tangu miaka ya 1900 mwanzoni, kilichozitoa sokoni ni kushuka kwa gharama za mafuta (petrol na diesel). Hawa wamezifufua tena kwa kuboresha teknolojia.
Picha chini ni gari ya mwaka 1898 aina ya Porsche (mbunifu akiwa ni Ferdinand Porsche)
Chanzo: The history of Porsche begins electrically
Hujaelewa comment yangu!Kilichonishangaza mimi ni kwamba Elon Musk alijuaje kuwa gari za umeme zitakuja kuwa na soko hadi akaanza kuwekeza hela kubwa katika mradi wake wa kuzitengeneza?
 
ila kwenye hii dunia kuna vipaji vya ajabu!Imagine Elon Musk alijua vipi kuwa gari zinazotumia umeme ndiyo future cars?!
Zilikuwepo tangu miaka ya 1900 mwanzoni, kilichozitoa sokoni ni kushuka kwa gharama za mafuta (petrol na diesel). Hawa wamezifufua tena kwa kuboresha teknolojia.
Picha chini ni gari ya mwaka 1898 aina ya Porsche (mbunifu akiwa ni Ferdinand Porsche)
 
Anakuja kuwa tajiri wa kudumu kwa sababu kumbuka dunia inakuja kuhama kutoka kwenye kutumia magari ya mafuta kwenda kwenye kutumia magari ya umeme na yeye ameshawahi kwenye soko tayari.Maana yake makampuni yatakayokuja kushindana nae yatapata changamoto kubwa sana!
UK deadline ya kutumia magari ya mafuta ni 2030 na kwa bahadhi ya nchi za scandinavia ni 2025.
 
We mbona unavuta ganja umeishia kuwatukana wazazi wako matusi ya nguoni.Utajiri wake umekuja baada ya matumizi sahihi ya akili yake na wala sio matumizi ya misokoto ya bangi.

Hata mimi nimeshangaa Kwanini jamaa ana emphasize kwamba jamaa anavuta Bangi kuna mahusiano gani na mafanikio yake
 
Hahahahahahaaha , unapiga mtu spana mapema hivi

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Amechagua njia nyepesi ya kujibu. Eti 'so primitive in thinking',halafu ndio kamaliza kujibu. Hapo amekwepa swali. Amemkashifu muuliza swali badala ya kulijibu swali. Amechagua object badala ya subject.
 
Huyo jamaa ana bidhaa gani au huduma gani ya kumpa utajiri huo? Wateja wake in kina nani? Kama simuamini amini
Bro utajiri wa 21century haangalii bidhaa sana,kumbuka kuna service.jamaa alinza PayPal as service provider, now he has
•spaceX(including starlink)
•Tesla(includingSOLARCITY)hapa hataki kusikia kitu kinaitwa Giza duniani anataka kuingaza dunia
•The boring company
•OpenAI
•Neuralink(hapa hyperloop)
But this should be a wakeup call to African countries kupitia upya sheria zao,south africa wasingekuwa na uraia pacha ndoto zake zingekufa.
Huko deep web waanamini huyu ndio satoshi nakamoto aka Mr bitcon
 
Back
Top Bottom