Elon Musk ana taaluma gani hadi aaminiwe kusimamia Ukaguzi wa Fedha za Misaada ya Marekani Duniani kote?

Elon Musk ana taaluma gani hadi aaminiwe kusimamia Ukaguzi wa Fedha za Misaada ya Marekani Duniani kote?

Je, Elon Musk ni mtaalam wa maswala ya Fedha kama Prof Alhaj Assad wa Tanzania?

Ni hilo tu 🐼
We jamaa hivi mtu anatengeneza maroboti atashindwa kukagua serikali. Elon Musk anaweza kukagua serikali yetu ndani ya nusu saa.

Hizo software mnazo process data ili mkague mahesabu wakina Elon ndio wana program.

Tena wana program from scratch. Wana code formula zote wanaweka wao. Ninyi mnanunua software lakini hamwelewi hata tone formula zilizowekwa ndani ya hizo Softwares.
 
Je, Elon Musk ni mtaalam wa maswala ya Fedha kama Prof Alhaj Assad wa Tanzania?

Ni hilo tu 🐼
BIla kuwa na kichwa kinachochaji vyema ubillionia utausikilizia kwenye bomba.Bahati iliyoje kaaminiwa na bilionea mwenzake akihitaji umahiri wake kwenye technology umsaidie kuwa nyoosha wavivu,warasimu,omba omba na wala kwa kamba.
 
Bila kuwa mwizi na mkwepaji kodi pia ubilionea unausikia kwenye Redio
 
Bila kuwa mwizi na mkwepaji kodi pia ubilionea unausikia kwenye Redio
Siyo lazima,jinsi ya kuziona fursa na kuzitumia,mfano ukiunda teknolojia mpya na ukawa unajua jinsi ya kuitumia ikunufaishe zaidi sioni kama ni wizi,hiyo ni kufuta jasho lako,hata hivyo itakuwa jambo la muda na kadiri uelewa unaongezeka mianya hiyo inapungua na maboresho yanafanya kuondoa mapyngufu.
 
1739008299443.png
 
Back
Top Bottom