Elon Musk anakaa tu na wanawake haoi wewe kapuku unapambana

Mie navyoona waliooa wake zao wanashobokea watu wengine ntaendelea na utaratibu wangu wa kuchakata mbususu tu kwa kweli. Imagine mke wa mtu anakuomba hela ya lotion unamwambia si una mume anakwambia hayo hayakuhusu we na mie tutamalizana kikubwa.
Kwa hiyo mama yako kwa uzoeful wako alikuwa Malaya anashobokea watu wengine wakati baba yako yupo

Kwa hiyo wewe ni mtoto wa Malaya?
 
Alishawahi kua na mke walivyoachana akamzingua mgao wa mali. Ndio maana hataki kuoa tena
 
Kwa hiyo mama yako kwa uzoeful wako alikuwa Malaya anashobokea watu wengine wakati baba yako yupo

Kwa hiyo wewe ni mtoto wa Malaya?
Sikulaumu kwa kukosa akili ni vile umerithi akili za mama yako malaya.
 
Unajua zinamtoka hela kiasi gani kwa kuhudumia hao wanawake anaowaacha na watoto wao?sheria kule ulaya sio kama huku kwetu unazalisha na kukimbia tu hata hautoi huduma,kule ulaya kama hautoi huduma unaweza hata kufungwa jela,sheria ni kali sana.Yule mwenzio anafanya hivyo kwakuwa ana hela ya kutosha...
 
Kwani si nimesema kama unaweza kuhudumia au wapi nimesema zalisha ukimbie?
 
Punguza ushauri, watu wana mipango yao tayari.
 
Fainali uzeeni single mama uzeeni ana hazina ya kutosha watoto watakaomtunza,huku wewe unakula malipo yako
 
lakini ana watoto na ana wachumba, kufanya ngono na asiye mke wako inaitwa "uasherati" au kwa kimombo "fornication". HIi ni dhambi na Mungu ameahidi kwamba watu kama hao hawataurithi uzima wa Milele. Ushauri wangu kwa vijana, usijisifu kwa kuwa na wanawake wengi, usijisifu kwa uzinzi, bali ajisifuye na ajisifu kwa kuwa anamjua Bwana, ameokoka na Mungu yupo maishani mwake. hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. hakuna uzinzi usio na mwisho mbaya, haupo in one way or another, mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele kwa Yesu Kristo Bwana wetu.

hata sasa haujachelewa, bado lipo tumaini kwa maisha yeyote unayopitia, kwa dhambi zozote tunazoweza kuwa tumezifanya, Mungu aweza kutupokea tukibadilisha maisha yetu kwa kumkiri Yesu Kristo na kuokoka. Mungu atusaidie sote.
 
Na siku Akiwa Shoga utataka na sisi tuwe Hivyo?....

Grow Up....
 
According to title.
Kwahiyo kwakuwa Elon haoi, na wewe usioe?? Umeshikiwa akili au?
Mbona babu yako kafa na wewe hujamuiga ufe pia?

BTW ndoa ni kwa wenye akili timamu
Kila sku Atoto anawakumbusha.
Nakazia
 
Single moms wa Elon wanajua kuna kitu cha ziada ambacho sio mapenzi, wewe unacho cha kuwashawishi nacho wakuzalie? Au unataka uzae kama panya uwaachie na mzigo single moms wa watu
Kwa hiyo kumbe hela ikiwepo usingle mother mnaukubali bila kujali mambo mengine
 
Musk ana watoto wengi kuliko makapuku nani alikuambia matajiri wana watoto wachache?
β€’ Sawa sikatai mkuu, Lakini wanateseka kama watoto wa walio zaliwa mbagala?? πŸ€’
 
Kuna jamaa Fulani Kyle kimanzichana,alikua dereva wa magari ya kupeleka mkaa dam,alikua na viwanja sita kimanzichana kila kimoja hekari Moja,alioa make wa kwanza ,wakashindwana wakagawana akabaki na vitatu.akaoa wa pili,jamaa akafumaniwa na mwanamke mwingine wakagawana akabaki na kimoja.kwa Sasa hatakibkuoa kabisa.
 
Kuna shida gani kuzaa sana
Nxhi zinazoongoza kuwa na mabilionea wengi ni zenye watu wengi yaani wateja wengi nchini mwao ukibana uzazi Azam hawezi kuwa bilinear wala chapati watakuwa wachache

Idadi kubwa ya watu ndio hutajirisha
πŸ˜€πŸ˜€, hii ni majabu, watoto wanahitaji matunzo mkuu, siyo unafyatua fyatua.. Ule ugali na chumvi, alafu utegemee huo ukoo mtakuwa matajili... Labda utajili wa utapiamlo.
 
Mtoa mada uige na hela zake mfanane Kila kitu.
 
Dah hii mada inakauchachu flani hv amaizing.
:Naomba irudiwee
:naomba irudiwee
:naomba irudiweeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…