Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vitu vingine sio vya kuiga,jamaa anasababu zake huenda za msingi zaid ktk maisha yake sas sijui ww unasababu zipi!!au unaiga tu!!???/Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10.
Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.
Kwa upeo tuliofikia hebu acha kujenga hoja kwa mizania ya ,,Mungu anakatazalakini ana watoto na ana wachumba, kufanya ngono na asiye mke wako inaitwa "uasherati" au kwa kimombo "fornication". HIi ni dhambi na Mungu ameahidi kwamba watu kama hao hawataurithi uzima wa Milele. Ushauri wangu kwa vijana, usijisifu kwa kuwa na wanawake wengi, usijisifu kwa uzinzi, bali ajisifuye na ajisifu kwa kuwa anamjua Bwana, ameokoka na Mungu yupo maishani mwake. hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. hakuna uzinzi usio na mwisho mbaya, haupo in one way or another, mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele kwa Yesu Kristo Bwana wetu.
hata sasa haujachelewa, bado lipo tumaini kwa maisha yeyote unayopitia, kwa dhambi zozote tunazoweza kuwa tumezifanya, Mungu aweza kutupokea tukibadilisha maisha yetu kwa kumkiri Yesu Kristo na kuokoka. Mungu atusaidie sote.
Hoja ni nikuteseka au kuwa na watoto wengi• Sawa sikatai mkuu, Lakini wanateseka kama watoto wa walio zaliwa mbagala?? 🤒
Ni sawa na wewe mwanaume uombe tendo kwa mwanamke mwingine kisha akuulize "si una mke wewe" utamjibujeMie navyoona waliooa wake zao wanashobokea watu wengine ntaendelea na utaratibu wangu wa kuchakata mbususu tu kwa kweli. Imagine mke wa mtu anakuomba hela ya lotion unamwambia si una mume anakwambia hayo hayakuhusu we na mie tutamalizana kikubwa.
Yesu hakuwahi kuzini wala kuwa na watotoUnamaanisha Yesu hakuwa na akili timamu?
Una hakika yuko kamili?Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10.
Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.