Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

Mkuu mafuta ndo utajiri wa dunia ni vile wa marekani hawa waingizi waarabu kwenye izi issue za matajirii...kigezo chao namba moja wanasema waarabu wamerithi uo utajiri hawajautafuta,..lait wangekua wanaingizwa kwenye izii record nadhani wangeshika namba 1 paka 100 wote waarabuu....
Waarabu ni nyooko saana kwenye utajirii mkuu...
[emoji102][emoji849]Unajua unachokisema au???
 
Tesla sio ya Elon.

Elon is a CEO and one of shareholders. Wengi naona wanachanganyaga hii concept.

Kampuni za Elon ni.

Space X
Paypall
Nyingine ongeza na wewe unae jua
Mkuu Paypall ndio aliuza na kuweka hela yote Tesla. Hana shares huko kabisa
 
Mkuu mafuta ndo utajiri wa dunia ni vile wa marekani hawa waingizi waarabu kwenye izi issue za matajirii...kigezo chao namba moja wanasema waarabu wamerithi uo utajiri hawajautafuta,..lait wangekua wanaingizwa kwenye izii record nadhani wangeshika namba 1 paka 100 wote waarabuu....
Waarabu ni nyooko saana kwenye utajirii mkuu...
Hakuna kitu kama hicho mkuu. Wangekuwa na ukwasi wa kutosha, lazima wangekuwa kwenye list tu. Kuna wengi sana kwenye list mali wamerithi mfano ni hao jamaa wa Walmart. Hii dunia ukiwa na ukwasi utajulikana tu hata ufiche vipi labda kama una million kadhaa za madafu umeficha ndani!
 
10. Mukesh Ambani Jamaa nyumba yake tu ni balaa (Antilia) It worth 2+ billion USD (Approx' 4+ trillion pesa za madafu)
 
Mkuu hivi inawezekana je technolojia izidi hela mafuta. Bado hii kitu inanishangaza kwasababu mafuta siyo mchezo.
Mafuta wamiliki ni wengi..yaani full Kiwingu. Technology unakuta kitu flani anakimiliki mtu mmoja.
 
Wanaume wa tz mnajisikiaje [emoji23][emoji23]
 
Tesla sio ya Elon.

Elon is a CEO and one of shareholders. Wengi naona wanachanganyaga hii concept.

Kampuni za Elon ni.

Space X
Paypall
Nyingine ongeza na wewe unae jua
Kwa hiyo Shareholder siyo Mmiliki?
 
Back
Top Bottom