[emoji102][emoji849]Unajua unachokisema au???Mkuu mafuta ndo utajiri wa dunia ni vile wa marekani hawa waingizi waarabu kwenye izi issue za matajirii...kigezo chao namba moja wanasema waarabu wamerithi uo utajiri hawajautafuta,..lait wangekua wanaingizwa kwenye izii record nadhani wangeshika namba 1 paka 100 wote waarabuu....
Waarabu ni nyooko saana kwenye utajirii mkuu...
Tesla sio ya Elon.
Kupika dataKivipi tajiri wa 6, 7 na 8 anamzidi hela tajiri wa 5?
Au mimi ndio sijui hebu wadau nisaidieni.
Sana mkuu. Money is Power. Imagine una nguvu za kuwezakuamua au kubadili chochote hapa dunianiKumbe utajiri Ni kitu Cha kutisha
Mafuta yenyewe yanategemea techMkuu hivi inawezekana je technolojia izidi hela mafuta. Bado hii kitu inanishangaza kwasababu mafuta siyo mchezo.
Mkuu Paypall ndio aliuza na kuweka hela yote Tesla. Hana shares huko kabisaTesla sio ya Elon.
Elon is a CEO and one of shareholders. Wengi naona wanachanganyaga hii concept.
Kampuni za Elon ni.
Space X
Paypall
Nyingine ongeza na wewe unae jua
Hakuna kitu kama hicho mkuu. Wangekuwa na ukwasi wa kutosha, lazima wangekuwa kwenye list tu. Kuna wengi sana kwenye list mali wamerithi mfano ni hao jamaa wa Walmart. Hii dunia ukiwa na ukwasi utajulikana tu hata ufiche vipi labda kama una million kadhaa za madafu umeficha ndani!Mkuu mafuta ndo utajiri wa dunia ni vile wa marekani hawa waingizi waarabu kwenye izi issue za matajirii...kigezo chao namba moja wanasema waarabu wamerithi uo utajiri hawajautafuta,..lait wangekua wanaingizwa kwenye izii record nadhani wangeshika namba 1 paka 100 wote waarabuu....
Waarabu ni nyooko saana kwenye utajirii mkuu...
Tesla-magari ya umemeKampuni zake zinatoa huduma gani?
Inabidi uzamie kwa biden kwanza, huku Tz utaishia kuwa motivation speakerSoon nakuja na ubunifu wangu wa kiteknolojia, niinjoy mema ya nchi. Tajiri wa dunia from Tz.
Mafuta wamiliki ni wengi..yaani full Kiwingu. Technology unakuta kitu flani anakimiliki mtu mmoja.Mkuu hivi inawezekana je technolojia izidi hela mafuta. Bado hii kitu inanishangaza kwasababu mafuta siyo mchezo.
Magari ya Umeme,Kampuni zake zinatoa huduma gani?
Ondoa Matongotongo kwenye Ubongo wako.Simpendi huyu mtu.ana dhamira fulani ovu kwa ulimwengu.
Kwa hiyo Shareholder siyo Mmiliki?Tesla sio ya Elon.
Elon is a CEO and one of shareholders. Wengi naona wanachanganyaga hii concept.
Kampuni za Elon ni.
Space X
Paypall
Nyingine ongeza na wewe unae jua
Wewe unajisikiaje Changu kama Kim Kardashian kakuzidi Kila kitu yaani. Wewe na kumcha Mungu kote bado njaa kali🤣🤣🤣Wanaume wa tz mnajisikiaje [emoji23][emoji23]