Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

Huu ni ukweli unaouma
 
Nakuaje hapo namba 5 na 6

Namba tano ana $116 namba 6 ana $ 125 au ndio typing error ?
 
Point Mujarrabu Hii..ningekua na dada Ungekua shemeji yangu.
 
halafu unakuta kuna popoma mmoja anakutana na jamaa anaomba picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

mimi kitu ntaomba ni just $10000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…