Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

Unajua utajiri wa mfalme wa Qatar [emoji1203] changanya pesa zahao top ten wote hawamfikii ana quadrillion 20 ni Sawa na dollar trillion 1000

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Mawazo ya kuomba Ni ya hovyo Sana. Yeye siyo bank kutombwa mikopo.
Unaweza kujikuta unapigwa ban kumbe hukuwa na nia ovu maskini.......
ni mponyoko wa maneno
Hujakosea bilionea wa kudownload mapesa mitandaoni,niweke kwny maombi.
Upo nyuma hayo mambo wanafanya ma financial analyst.....
sasa ww muuza mikaa utaelewa kweli!?
mtu kama ww ni ya kusamehe bure tu..
manake unaonekana upo matak.oni mwa dunia utaelewa kitu kweli
 
Wala hujakosea tajiri wa kudownload mapesa,endeleeni kuyadownload mi naendelea kuchoma mkaa mdogomdogo.

Pale Jangid building mnarudi Tena lini kuwafundisha vijana namna ya kudownload mapesa mitandaoni?
 
Bill gates na jeff bezon wameshuka kutokana kuachana na wake zao na hao wake zao wamegawana nao mkwanja mirefu mimali kibao ndio sababu ya kushuka kwao
 
Mkuu hivi inawezekana je technolojia izidi hela mafuta. Bado hii kitu inanishangaza kwasababu mafuta siyo mchezo.
Kwa hali ya sasa mafuta yanaisha soko technology inashika kasi mfano kuna magari yanaanza kutoka mengi hayatumii mafuta itafika mahala hata mitambo itatumia mafuta kiasi tu na hii wajiangalie sana nchi zinazotegemea mafuta wazungu wakiamua kitu ujue kitapita na kitatapakaa utake usitake
 
Hizo data za forbes ni za kupeleka.
Kuna watu Wana hela na mali kuliko hizo na awataki kupeleka taarifa zao Forbes sababu awataki umaarufu au kujulikana
Aliyekudanganya nani forbes wanachimbua kwa kupeleleza na wanatoa wao sio watu wanapeleka huo ni unafiki wa kiwango soma data zao uone
 
Urajiri wa Elon upo kwenye makaratasi tu na asilimia ndogo kwenye cash. Ukilinganisha na matajiri wengine kama Bill Gates, Warren, Jeff Bezos na kadhalika.
Makampuni yao yanaingiza faida kubwa na wanapokea salio kubwa kila mwaka. Tesla baada ya kulamba hasara kwa miaka mingi ni miaka 2 iliyopita kama sijakosea ndio imeanza kupata faida.

Share Price ya Tesla imekuwa overvalue by far! Makampuni yote makubwa ya magari ambayo yanaingiza faida kubwa kama Toyota+Volkswagen+Benz(Daimler)+General Motor+BMW+Volvo+Ferrari bado hazijafikia Market Capital ya Tesla!!

Elon Mask anapendwa na investors na ndio ambao wanapandisha bei ya hisa za Tesla!
 
Unajua utajiri wa mfalme wa Qatar [emoji1203] changanya pesa zahao top ten wote hawamfikii ana quadrillion 20 ni Sawa na dollar trillion 1000

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Mfalme ana pesa za taifa zima, rasilimali zote za nchi nk.. na ushasema ni mfalme means sio tena mtu binafsi aliyejitafutia peke yake kwa akili yake bali wanarithishana vizazi na vizazi.

Elon musk ni mtu binafsi aliyepigika mwenyewe mpaka kufika alipofika.
yeye sio mfalme wala rais ni mtu kama wewe ambaye ameamua kutumia akili yake kutafuta.

so elon musk ndio tajiri namba moja kwa mantiki hiyo.
 
Elon kakimbiwa na demu wake juzi juzi. kweli mapenzi siyo mpunga.
Who cares about mapenzi, kesho kutwa anachukua star mwingine anamzalisha yeye anachukua mtoto then anamtupa.
Hakuna kitu kinaitwa mapenzi ukilinganisha kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya, jamaa anachojali ni kuzalisha watoto wengi kadri anavyoweza ili waje kushikilia legacy yake.
 
Hadithi za kusadikika.vya thamani vya thaminika.ukweli utabaki uongo utafahamika
 
Sidhani km kweli madini yote unaweza kutengeneza maabara!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…