Elon Musk anataka kuteua vijana wadogo 'Baby Face' kumsaidia kutengua shirika la msaada Marekani. Wataalam wamtahadharisha

Elon Musk anataka kuteua vijana wadogo 'Baby Face' kumsaidia kutengua shirika la msaada Marekani. Wataalam wamtahadharisha

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Bilionea namba moja duniani Elon Musk yuko mbioni kuwateua vijana sita wadogo kiumri na legelege wenye sura za kitoto Baby Face kumsaidia kuifumua kuifungua na kuianzisha upya shirika la misaada la marekani America foreign Aid Agency.
20250204_192306.jpg


Billionea huyu wa Tesla aliteuliwa kuwa mkuu wa Department of Government Efficiency (DOGE)baada ya miezi kadhaa kumfanyia kampeni rais Trump wakati wa uchaguzi.

Sasa, Musk ameamua kutaka kuwachagua hawa vijana wenye umri 19-25 watatu kati yao inaaminika bado wako college ambao eti wanataka kupewa vyao vya kuziba pengo kubwa la kihuandisi na kubana matumizi.

Akiwa na miaka 19 tu, Edward Coristine ndio mdogo kuliko wote ya hawa mabwenyenye ambaye role yake itakuwa taking on corporate America and longstanding government institutions.

At just 19, Edward Coristine is the youngest of the fresh-faced bunch taking on corporate America and longstanding

Wengine ni Akash Bobba, 21, Ethan Shaotran, 22, and Luke Farritor, 23, along with Coristine, have reportedly been granted A-suite level clearance for their work, meaning they can work out of the agency's top floor with access to all physical spaces.

Wataalam wengi wa kiuchumi Marekani wanatahadharisha na kumpinga Elon Musk na kudai miezi sita ijayo kama hali hi ya mihemko katika Serikali ya Trump itaendelea hivi uchumi wa Marekani utaanguka vibaya sana.

Hata mimi Simkubali kabisa Elon Musk.

Yetu macho na maskio.
 
Ngoja tuone nguvu kati ya Bunge na Elon, na hapa ndipo Trump anatakiwa kuwa too wise katika kila maamuzi ambayo anaenda kuyasimamia kutoka kwa Bunge na Tajiri
 
Watoto wa sasa hivi ndo wapo bright sana kuliko hao watu wazima trust me mengi tumeunda sisi reseaech nyingi tumefnya sisi wao wanameza tu so kama ni kijana yupo bright anaweza handle mambo makubwa tu kwa urahisi hata pesa vijana wadog sasa ndo wanamiliki pesa kuliko wakubwa maana tumeshawaonyesha njia
 
Nafikiri natafuta watuwatakao kua rahisi kuwa remote kuliko kubishiwa maamuzi yao. Hao jamaa wana malengo yao ambayo hatuyajui sasa tungojee matokeo yake kama wana faulu au kufeli maana wanajua wao mpango wao.
Nahisi hata wanachama wa chama chao wanashangaa baadhi ya maamuzi yanayofanyika, hawakutegemea kwa mwendo huu.
 
Back
Top Bottom