Elon Musk anatikisa mizinga ya nyigu, atadumu kweli huyu?

Elon Musk anatikisa mizinga ya nyigu, atadumu kweli huyu?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760

Marekani, baada ya kuinunua Twitter kaanza kuruhusu kuwe na neutral ground kinyume na democrats wanavyotaka mawazo yao peke yao yasikike, hiki chama huwa kinacheza rafu sana, huanza kwa makesi kibao ya kubambikiwa, wakishindwa wanakuchomoa Kama walivyotaka kumfanyia mtu maarufu mwaka huu. Elon kapata sapoti kubwa sana ya Republicans ya Trump na Democrats waliohamia Reublican lakini katengeneza uadui mkubwa kwa democrats

Brazil kaanzisha ligi nyingine dhidi ya Serikali, kiranja akiwa Alexanda Moraes, Support ya wabrazil ni kubwa kwa Elon Musk lakini hao jamaa anaowachokonoa they are dangerous.

Hapo kabla mtandao wa Twitter ulikuwa anti israel, post za Israel zilikuwa zinabanwa sana (censored), kwa hali ya sasa mambo yamebadilka, Post za Israel nazo zinapewa uwanja, Support kwa wanaosapoti Israel imekuwa kubwa lakini wafuasi wa Hamas, Hezbollah, n.k. wanamuona kama adui.

Hapo kabla watu wanao kosoa sana uislamu walikuwa wanabanwa kwa kigezo cha kuwa anti islam, kwa hali ya sasa uwanja upo huru, Kapata sapoti kubwa ya watu wanaopenda uwanja huru kwenye ukosoaji wa dini lakini katengeneza uadui na radical muslims.
 
Nataka kuona siku aanze kucheza na serikali ya China kama anavyocheza na serikali za Brasil na Venezuela nataka kuona kitu.
 
Nataka kuona siku aanze kucheza na serikali ya China kama anavyocheza na serikali za Brasil na Venezuela nataka kuona kitu.
China wana mitandao yao ya kijamii, X , instagram na Watsapp , Fb hakuna kabisa labda utumie VPN
 
China wana mitandao yao ya kijamii, X , instagram na Watsapp , Fb hakuna kabisa labda utumie VPN
X unaweza tumia China kupitia VPN serikali ya China ina accounts X hata baadhi ya viongozi wao wana accounts X
 
X unaweza tumia China kupitia VPN serikali ya China ina accounts X hata baadhi ya viongozi wao wana accounts X
Ndio maana nikasema mitandao hio labda utumie VPN , Musk hawezi kui impose policy zake za X za freespeech kwa serikali ya China kwa namna yoyote kwasabau ni mtandao ambao haupatikani ndani ya China
 
Vinginevyo ndani ya miaka minne ijayo watammaliza kwa kesi za ajabu, jela, kumfirisi, cancelled ama visivyozungumzika
Yea maana wataona ni tishio sana kwao kutokana na ushawishi na uwezo kifedha alionao
 
X Hawezi kuwa na influence kwa uchaguzi wa marekani mzee,wao wanataka ma zaidi sera za wagombea.Sera ya uchumi na uhamiaji,sera za mambo ya nje na sera watu weusi na wanawake.
 
Cha kumfanya Elon Musk hawana kiukweli Democrats HAWANA. Labda wamuue. He cant be cancelled because he OWNS X. Hawawezi kumfunga since he has the ability ya kuhire the best lawyers in the world.

He is a BILLIONAIRE. Hata akimtaka Mwabukusi amtetee anampata chap.

Again labda wamuue. Like they tried to do that with Trump but Elon is here to stay.
 
Back
Top Bottom