Elon Musk angekuwa China asingeendeleza hivi vituko vyake yeye na Trump

Musk Ana biashara kubwa sana China. Hana jeuri kule.

Ni changamoto kubwa kwa utawala wa Trump unaoiona China kama ndiye adui mkubwa wa US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…