Elon Musk angeweza kuzinunua timu hizi zote badala ya Twitter!

Elon Musk angeweza kuzinunua timu hizi zote badala ya Twitter!

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
1688742304218.png
 
Hii ni theories zaid..
Huruhusiwi kumiliki timu zaidi ya moja Kwenye nchi moja
Ni kweli kwa kiasi flani lakini siyo all the way.

Sheria ya UEFA inasema Ikiwa ni umiliki wa asilimia 100 kwa timu mbili au zaidi zinazoshiriki mashindano ambayo yako chini ya UEFA, hilo haliruhusiwi “for integrity purposes”

Lakini inaruhusiwa endapo lets say timu moja huyo mtu anamiliki asilimia 100 na nyingine 49 kwenye mashindano yaliyoko chini ya UEFA inaruhusiwa.

Utofauti unakuja kwenye viwango vya umiliki.

“It would be possible for someone to have a 100% shareholding in one club and a 49% shareholding in another club competing in the same competition”-UEFA rule.
 
Back
Top Bottom