Elon Musk , asema anawaheshimu wanawake japo ni watu ambao hawezi kuwaamini milele

Elon Musk , asema anawaheshimu wanawake japo ni watu ambao hawezi kuwaamini milele

gwanseri

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
379
Reaction score
1,081
Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani.

Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta wakipoteza Mali nyingi walizotafuta kwa jasho lao bila usaidizi wa wenza wao.

Amesema ataiuza sex robot duniani kote ili kuokoa maisha ya wanaume ambao wamekua wahanga kwenye suala la mapenzi.

Elon kaweka wazi kua kwa sasa hafikirii kuoa maana atakayemuoa atafuata Mali zake na sio mapenzi, hivo anaona muda mwingi autumie kwenye ubunifu mbalimbali ili kuisogeza dunia mbele na iwe mahali salama kwa kila mmoja.
 
Putin alishamwagana na kile kibibi, kikaenda kuolewa ufaransa huko.

Halafu mbuzi mmoja, kisa kanunua ki vitz anataka kuoa.
Usidharau wanao oa, kuoa has nothing to do with mali, unaweza kuwa nazo na usioe, mwingine anaoa hana mali kihivyo

Heshimu maamuzi ya wengine, usiwaite mbuzi kisa ww hujapata mtu sahihi au unadharau maamuzi yao
Kila mtu ana different experience dunia hii
 
Back
Top Bottom