A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
Anataka mtu sahihi yeye mwenyewe ni sahihi kwa mtu.. La sivyo lazima upate tu wakufanana naeUsidharau wanao oa, kuoa has nothing to do with mali, unaweza kuwa nazo na usioe, mwingine anaoa hana mali kihivyo
Heshimu maamuzi ya wengine, usiwaite mbuzi kisa ww hujapata mtu sahihi au unadharau maamuzi yao
Kila mtu ana different experience dunia hii