Elon Musk , asema anawaheshimu wanawake japo ni watu ambao hawezi kuwaamini milele

Elon Musk , asema anawaheshimu wanawake japo ni watu ambao hawezi kuwaamini milele

Elon alikua mjanja, kipindi anaoa, alimsainisha demu mkataba fulani unaitwa PRENUP.

Huu mkataba huwa unaweka mambo ya mali pembeni ikitokea mtaachana.

Hicho ndicho kilimuokoa mwanauwe mwenzetu,, lasihivyo saiz tungekua na mwanamke bilionea wa kurithi.
akifa musk,mkataba unasemaje
 
Ana kahoja fulani, wengine ni sababu za kidini tu ndio tunaona hovyo ila ukichunguza kwa umakini ana hoja.
 
Amesema ataiuza sex robot duniani kote ili kuokoa maisha ya wanaume ambao wamekua wahanga kwenye suala la mapenzi.
Atengeneze yenye mahaba ya makabila ya
Tanga
Uzaramoni
Songea ( robot anayejua kukatika kioda)
 
Source au source yako ni "Trust me bro?"
Mimi pia nilitaka nipate hiyo interview ilikuwa ni wapi na lini, maana Elon Musk ana watoto 12 kutoka kwa wanawake tofauti watatu, baba yake ndio yalimzidi hadi akazaa na mtoto wake wa kuasili...hao ni wazee wa kuichakata 🐱 haswa
 
Ndio hata watoto wake 12 alisema hatokuja kupima DNA maana anaweza kukuta maajabu , hayo alikua akihojiwa na Joe rogan
 
Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani.

Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta wakipoteza Mali nyingi walizotafuta kwa jasho lao bila usaidizi wa wenza wao.

Amesema ataiuza sex robot duniani kote ili kuokoa maisha ya wanaume ambao wamekua wahanga kwenye suala la mapenzi.

Elon kaweka wazi kua kwa sasa hafikirii kuoa maana atakayemuoa atafuata Mali zake na sio mapenzi, hivo anaona muda mwingi autumie kwenye ubunifu mbalimbali ili kuisogeza dunia mbele na iwe mahali salama kwa kila mmoja.
Ni vema ukawaamini maana hao pia ndio watakaoikuza zaidi brand Yako tarajiwa ya TikTok endapo utafanikiwa ku bargain na wachina
 
Mtazamo binafsi: NI NGUMU KURIDHIKA NA MTU MMOJA hasa kwa wanawake ndio maana kuna michepuko kibao,s3x toys,use of matango,mihogo and stuff
...
Nakazia: kwenye mizagamuano ni ngumu mwanadamu kuridhika na mtu mmoja imagine f*ckng one p*ssy maisha yako yote
 
Back
Top Bottom