Putin alishamwagana na kile kibibi, kikaenda kuolewa ufaransa huko.Putin nae hana mke?
Haya mambo ni magumu sanaPutin nae hana mke?
Elon kasema hawaamini wanawake milele na mileleHalafu mbuzi mmoja, kisa kanunua ki vitz anataka kuoa
Swaumu toka juzi ananiomba msamaha ety anasema kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa..Kila siku nakushauli ndugu yangu Poor Brain swaumu atakuua
Fanya mpango tuchukue mdori mmoja kutoka kwa Elon , Neema na swaumu ndo walele mama yao mmojaSwaumu toka juzi ananiomba msamaha ety anasema kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa..
Na mi nikamjibu ""sikusamehi mpaka unipe namba ya mdogo ako neema""
Bado kuna wanawake wacha Mungu, wenye sifa za kuwa wake wema kwa waume zao. Kuoa ni jambo jema.Halafu mbuzi mmoja, kisa kanunua ki vitz anataka kuoa.
Elon alikua mjanja, kipindi anaoa, alimsainisha demu mkataba fulani unaitwa PRENUP.Elon kasema hawaamini wanawake milele na milele
Mpata matajiri wa dunia wanalia, sembuse sisi huku wa makambako.Ni vilio Kila Kona.
Astakfillah astakfillah khaaaFanya mpango tuchukue mdori mmoja kutoka kwa Elon , Neema na swaumu ndo walele mama yao mmoja
Usidharau wanao oa, kuoa has nothing to do with mali, unaweza kuwa nazo na usioe, mwingine anaoa hana mali kihivyoPutin alishamwagana na kile kibibi, kikaenda kuolewa ufaransa huko.
Halafu mbuzi mmoja, kisa kanunua ki vitz anataka kuoa.