A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
Anataka mtu sahihi yeye mwenyewe ni sahihi kwa mtu.. La sivyo lazima upate tu wakufanana naeUsidharau wanao oa, kuoa has nothing to do with mali, unaweza kuwa nazo na usioe, mwingine anaoa hana mali kihivyo
Heshimu maamuzi ya wengine, usiwaite mbuzi kisa ww hujapata mtu sahihi au unadharau maamuzi yao
Kila mtu ana different experience dunia hii
Elon ndiyo amekuumba? Au ni mumeo?Kama Elon Musk haamini wanawake, mie Nina nani niwaamini banaaaa.. π π π π
Ni mume wangu kipenzi, au na wewe unanitaka ? Nina matako mazuri njoo nikupe na wewe, uone hubby wangu Elon anavyo faidiaElon ndiyo amekuumba? Au ni mumeo?
Elon kazua balaaHatari sana
Hatari sana chiefJamaa wa kataa ndoa wanazidi kujikusanyia points tu.
Dunia sio kisiwa yanayoendelea kwingine ndio hutokea pengineAfrica upumbavu utawaisha lin mpaka Leo mnaamin kila kitu mzungu atakachosema n sahihi