Elon Musk ashika tena namba moja kwa utajiri duniani

Elon Musk ashika tena namba moja kwa utajiri duniani

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
1717526842296.png

Elon Musk

Kwa viwango hivyo vipya, thamani ya Elon Musk imepanda hadi dola bilioni 210.7, huku Bernard Arnault akishikilia nafasi ya pili akiwa na dola bilioni 201, na Jeff Bezos yuko katika nafasi ya tatu kwa dola bilioni 197.4.
---
Elon Musk, 52, derives his wealth primarily from his stake in Tesla
Billionaire Elon Musk surpassed Bernard Arnault and Jeff Bezos to become the richest person in the world, as per the Forbes Real Time Billionaires list.

With the new rankings, Elon Musk's net worth has soared to $210.7 billion, while LVMH's
Bernard Arnault holds second place with $201 billion, and Amazon CEO Jeff Bezos is in third with $197.4 billion.

Mark Zuckerberg stood fourth in the list with a net worth of $163.9 billion. Larry Ellison secured the fifth spot with a wealth of $146.2 billion.

Elon Musk, 52, derives his wealth primarily from his stake in Tesla, as well as his holdings in Space Exploration Technologies Corp. and social media platform 'X'.

He grabbed the headlines in October 2022 after he bought social media company Twitter, which he later renamed X. The 52-year-old co-founded Tesla in 2003. However, it was only during 2020 and 2021 that the company witnessed significant growth in market capitalisation.

A report had earlier said that Elon Musk, Bernard Arnault, Jeff Bezos, Larry Ellison and Mark Zuckerberg grew their wealth at an alarming rate of $14 million per hour since 2020.

The Oxfam report had said that if each of the five wealthiest men were to spend a million US dollars daily, they would take 476 years (on an average) to exhaust their combined wealth.

Elon Musk Surpasses Bernard Arnault, Jeff Bezos To Become World's Richest
 
Ilikua ni jambo la muda tu Elon kurudi Kileleni.

Kumbuka Elon ana makapuni kibao ambayo hayajaenda Public kama Space X, Starlink, Boring nk. Hayo yakienda Public Elon mpunga utamuua yule mbwa.

Mimi napenda baadhi ya kanuni zake za maisha. Mfano yeye anasema kama huna dharula basi usipigie mtu simu baada ya sa 3 usiku na kabla ya sa 3 asubuhi ili mtu apate quality sleep.
 
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Yani tuko hapa kibarazani kijiweni cha umbea na masela tumenyong'onyea, kukasirika na kufadhaishwa kwa habari mbaya ya Elon Musk kurudi tena kuwa tajiri namba moja duniani.

Siku kadhaa nyuma tulifurahi sana na kusheherekea Elon Musk kuwa wa Tatu kwa kupukiwa na Jeff Bezoz na Bernard Arnault. Tukaomba ashuke zaidi nakudhani atafikia levo ya kina vunja bei na chief Godlove.

Lakini jamaa mbishi utajiri wake umepanda jana alhamis toka 198 billion usd hadi 210 billion usd ukimpita Bernard Arnault na billion 1 ambaye utajiri wake ni 209 billion usd.

Lakini hatujakata tamaa tutaendelea kumroga, kumlaani na kumuombea mabaya kwasababu jamaa amuamini Mungu, mchoyo na mbaguzi.

Kazaliwa na kukulia Africa kusini na bara la Africa lakini hata fadhila hana. Angetoa hata msaada wa fungu la billion 50 usd kama asante nakuanzisha hata megafactory ya Tesla.

Mungu sikia kilio chetu jamaa ashuke tufurahi.

Ebana wanajamvi inakuwaje?

Yani tuko hapa kibarazani kujiweni cha umbea na masela tumenyong'onyea, kukasirika na kufadhaishwa kwa habari mbaya ya Elon Musk kurudi tena kuwa tajiri namba moja duniani.

Siku kadhaa nyuma tulifurahi sana na kusheherekea Elon Musk kuwa wa Tatu kwa kupukiwa na Jeff Bezoz na Bernard Arnault. Tukaomba ashuke zaidi nakudhani atafikia levo ya kina vunja bei na chief Godlove.

Lakini jamaa mbishi utajiri wake umepanda jana alhamis toka 198 billion usd hadi 210 billion usd ukimpita Bernard Arnault na billion 1 ambaye utajiri wake ni 209 billion usd.

Lakini hatujakata tamaa tutaendelea kumroga, kumlaani na kumuombea mabaya kwasababu jamaa amuamini Mungu, mchoyo na mbaguzi.

Kazaliwa na kukulia Africa kusini na bara la Africa lakini hata fadhila hana. Angetoa hata msaada wa fungu la billion 50 usd kama asante nakuanzisha hata megafactory ya Tesla.

Mungu sikia kilio chetu jamaa ashuke tufurahi.
Aaahaa
 
Sahihi kabisa mkuu, wanamiliki kila kitu, central banks zote duniani zipo chini yao. Hata zile IMF na WB zote ni zao
Sasa kumiliki mali zote hizo za nini hamna tija yoyote hawataishi milele watakufa na kuacha. Ni watu waovu na wachoyo wamejipatia hizo Mali kwa umwagaji damu na unyanyasaji tangu kipindi cha utumwa ukoloni hadi leo wanaendelea tu kwa ukoloni mambo leo kwa kuiba rasilimsli nakuleta vita kama Congo na CAR na kusababisha vifo vya wengi.
 
Ni kweli kabisa, utajiri wao ni kutokana na damu pamoja na dhuluma kubwa kabisa. Wamebakiza hatua kidogo tu kumiliki ulimwengu mzima na vilivyomo ndani yake.
 
Hivi mbona waarabu na mafuta yao huwa hawaongozi kwa utajiri, brazaj
 
Rothschild
Astor
Rockefeller
Bundy
Freeman
Disney
Medici
Orsini
Borja bloodline

Hao ni baadhi tu, wapo zaidi ya 300. Na kuna umoja unaitwa committee of Three hundred. Research about them
Hizo umetaja ni familia yani ukoo mzima mfano hao rothschild.

Hapa wanaongelea utajiri wa mtu mmoja mmoja.

Ukija list ya familia au koo tajiri ndo hao umetaja hapo
 
Hizo umetaja ni familia yani ukoo mzima mfano hao rothschild.

Hapa wanaongelea utajiri wa mtu mmoja mmoja.

Ukija list ya familia au koo tajiri ndo hao umetaja hapo
Ni kweli hizo ni familia, lakini kuna viongozi wa familia na wasimamizi wa mali zote. Na chimbuko la hizo mali limetokea kwa juhudi binafsi za waanzilishi wa hizo familia. Hao ndiyo matajiri wa kweli haijalishi ni familia au ukoo
 
Back
Top Bottom