Elon Musk ashinda tenda ya kuharibu international space station ambayo USA ilishirikiana pamoja na Urusi.

Elon Musk ashinda tenda ya kuharibu international space station ambayo USA ilishirikiana pamoja na Urusi.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
ISS (international space station)
Ni jidubwasha kubwa sana linalobeba maabara ya watafiti wa anga, lakini life expectancy yake ndio hivyo inakaribia kuisha, linatakiwa liondolewe.

Na kikubwa cha kueleweka hapa ISS ilitengenezwa Kwa ushirikiano wa USA, RUSSIA, JAPAN, CANADA na EUROPE. Kwaajili ya utafiti wa kisayansi ambao unawezesha watafiti kwenda mwezini na sayari nyingine ikiwemo Mars.

ISS ilipoundwa ilikafiliwa kuwepo ndani ya miaka 100, na hii miaka inakaribia sasa hata kama ISS bado inafanya kazi inatakiwa iondolewe na kutengenezea upya, tenda ya kuiondoa kapewa Musk.

Sasa tuangalie jambo la msingi baada ya kuharibu ISS, CHINA Wana ISS ya kwao na ni baada ya NASA kupigwa marufuku na USA kushirikiana na China kwenye ISS, 2011 China wakatengeneza ya kwao Tiangong,
China walipambana wakalaunc Tiangog 1 na 2, na wakafuatia na Tianhne Kwaajili ya support na wakafuatia na Tianhne 2021 Kwaajili ya cargo mission, baada ya hapo wakapandisha wanasayansi wao na Shenzhou-12 huo huo mwaka 2021 na baada ya hapo wakapandisha maabara Shenzhou-12, mwaka 2022, lakini hawakuchoka mpaka wakapandisha Mengtian kukamilisha ISS yao ambayo inafanya kazi mpaka sasa.

USA ifikapo 2030 wanatakiwa wawe na ISS nyingine na hivi sasa NASA wanashirikiana na Axiom Space, Voyager Space, au Blue Origin ili wawe na ISS nyingine. Sasa zile trial zitakapokuwa zinafanyika tutegemee USA kupigwa chini na China Kwa upande wa space kwasabu mshiriki mkubwa wa China kwenye space ni Russia.,

Na ukiangalia Elon kanunua engine nyingi kutoka Russia Kwaajili ya Space craft zake.



I
 
Watupe tenda na sie twende na ungo tukaifumue na makombora yetu
 
Back
Top Bottom