100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Miaka ya 1800s kuzalisha alluminium ilikuwa gharama kubwa zaidi ya faida, Napoleon III aliwapa wageni wake muhimu au wageni rasmi vijiko na forks za alluminium kwenye chakula, huku wengine akiwapa vijiko vya silver...Umesema una imani na Elon Musk.
Hoja yako ya "litapatiwa ufumbuzi" ni ya kiimani. Hujaweza kutoa hata timeline.
He3 watu washaitumia kuzalisha nishati wakapata changamoto ya kutumia nishati kubwa kuzalisha nishati ndogo, biashara kichaa.
Na hii ni major obstacle si kitu kidogo kama unavyotaka kukifanya.
Ndiyo maana nakwambia unakwenda kiimani zaidi.
Alluminium ilikuwa expensive kui process kuliko gold...
Ilihitaji joto kubwa na chemicals za hatari miaka hio ili kuipata..
1886 suala likapatiwa ufumbuzi, wanasayansi wawili walipata ufumbuzi namna ya lutumia umeme na kuitenganisha alluminium kutoka kwenye miamba...
Umekaa hapo unafikiri sayansi imefikia kiwango cha juu sana, ni kweli, lakini vumbuzi zinaendelea, vizazi vijavyo sayansi itafika mbali zaidi, ndivyo graph inaonyesha hivyo...
Track record inaonyesha hivyo, changamoto nyingi za kisayansi huja kupatiwa ufumbuzi tu..