Kwanini unasema hili ni suala la imani, wanasayansi wameshagundua kwamba Helium 3 inaweza kutumika kama source of energy, Ugumu uliopo ni namna ya kuzalisha hio nishati kwa faida, ambacho ndicho kitu nasema kitapatiwa ufumbuzi.. Ndio maana nimekupa mfano wa transistors , mfano wa ENIAC, mwanzoni wanasayansi waligundua silicon ingeweza kutumika kama semiconductor, mtihani ulikuwa gharama na namna ya kui purify...
Hujaelewa nini hapo ?
Sizungumzii imani nazungumza sayansi, He3 leo hii ikipatikana wanaweza itumia kuzalisha nishati, changamoto ni joto linalohitajika na gharama itakayotumika kutakuwa na faida baada ya nishati kuzalishwa?
Kampuni ya kimarekani ya Helion energy sasa wanaweza zalisha 150 million degree Celsius, Helium inahitaji 400 million degree Celsius, huoni ni hatua nzuri?