Elon Musk ataka kujenga jiji mwezini, ndoto yake inawezekana?

Umeona swali general kwa sababu hujaweza kulinyambua tu, pengine kwa sababu unajibu kiimani zaidi ya kwa data.

Unasema vingine havina mashiko wakati swali la muhimu kabisa hujalijibu.

Ukiondoa research, ambayo haihitaji watu wa kawaida kwenda kuishi kwenye mji mwezini, na mambo ya binadamu kuwa multi planetary species, ambayo kwa watu wa kawaida bado ni ndoto za kifalsafa tu, kwa nini watu waende kuishi mwezini kwa gharama kubwa sana wakati dunia bado ina uwezo wa kuhimili watu kuishi kwa gharama ndogo sana?

Hujajibu swali hili.

Na hili ndilo swali la msingi kabisa hata Musk akisema anauza shares za kampuni watu waende kuishi mwezini, investors watauliza hili swali kwanza kabla hata ya details za feasibility ya kuishi huko.

Is there demand? Why would anyone, apart from a few die hard enthusiasts, want to go there?
Wewe unafikiri mtu aliyetoka New York, London ama Paris kwanini aende Geita kwenye machimbo ya madini? Kwanini atoke mahala ambapo kuna maisha mazuri, huduma bora za afya halafu aende Geita vijijini kwenye migodi? Au nikauliza wakati ule David Livingstone anatoka huko kwao Ulaya ambapo kulikuwa kumeendelea akaja Africa ku explore na matokeo yake akafa kwa malaria, unafikiri sehemu za kuishi huko Ulaya zilikuwa zimeisha?

Watu wanatafuta fursa, na usifikri huo mji mwezini watakaokwenda ni wananchi kutoka Katoro ...

Watu wanafuata fursa, kazi , biashara na pesa..
Mji kwenye mwezi ni industrial base, kampuni zitakazokuwa zinazalisha gas huko mwezini, zinachimba helium 3 na madini mengine zitahitaji mafundi wa mitambo, wapishi, wahandisi,madaktari, wataalamu wa computer, wataalamu wa miundombinu n.k...

Hao hawaendi kama watalii, wanakwenda kama wafanya kazi watakaolipwa fedha nyingi sana, watafanya kazi za viwandani na miundombinu..

Mfano kama walipelekwa wafanyakazi 1000, watahitaji chakula ndio maana unaona kumekuwa na majaribio sana ya kutaka kufanya kilimo cha greenhouse huko mwezini..

Watahitaji huduma za afya, burudani na mawasiliano...
Hivyo ndivyo mji unaanza kujijenga, hata Dubai in 1960s ilikuwa jangwa vipi leo? Mji ulikuwa sababu watu waliona fursa..

Usisahau kuna mabilionea ambao wanapenda kuzunguka kitalii mahala mbali mbali duniani, wengine wanahitaji experience ya kwenda nje ya dunia, hivyo kwenye hio miji kutakuwa na mahoteli, wanafika huko kwa kulipa mamilioni ya dola kabla gharama halijawa nafuu..

Pia hivi sasa space race imerudi, nchini kama China na wao wanataka kutengeneza maabara za kutafiti huko mwezini kufikia 2030s.. hivyo kuna ushindani mkubwa wa kuelekea mwezini..
 
Hivi karibuni, Elon Musk alitangaza mpango wa kujenga mji kwenye Mwezi; alisema kuwa mpango huo unaweza kutekelezwa ndani ya muda usiozidi muongo mmoja na kwamba mji huo utakuwa na uwezo wa kukua na kuendelea kwa kujitegemea.

Elon Musk alisema kuwa badala ya kujikita katika ujenzi wa mji kwenye sayari ya Mirihi (Mars), kampuni ya SpaceX sasa inaelekeza nguvu zake katika kujenga mji kwenye Mwezi.

============================

Recently, Elon Musk announced that SpaceX has shifted its focus toward building a self-growing city on the Moon, saying the ambitious project could potentially be achieved in less than a decade.

Musk said that, rather than focusing primarily on building a city on Mars, SpaceX is now prioritizing the Moon because it is much closer and can be reached more frequently. He argued that missions to the Moon can be launched far more often than missions to Mars, making lunar development faster to advance.

However, Musk has not completely abandoned his long-term plans for Mars. He said SpaceX still intends to begin work toward building a city on Mars within about five to seven years, but the Moon has become the company’s immediate priority.

The announcement represents a significant change from Musk’s previous position, in which he had described Mars as the main destination for establishing a permanent human settlement beyond Earth.

View attachment 3653168
Tapeli ka trumpa espesheli mambo ya biashara. Bangi anazovuta huyu ni designer...

Hatuna uhakika hata walifika mwezini sembuse kujenga?
Afu kwa nini ujenge mji mahali ambapo hewa na gravity havindena nasi... anataka kutajirika kutuuzia oxijeni na mavazi hitajika? mwendo mdundiko ukiishi huko?
 
Wewe unafikiri mtu aliyetoka New York, London ama Paris kwanini aende Geita kwenye machimbo ya madini? Kwanini atoke mahala ambapo kuna maisha mazuri, huduma bora za afya halafu aende Geita vijijini kwenye migodi? Au nikauliza wakati ule David Livingstone anatoka huko kwao Ulaya ambapo kulikuwa kumeendelea akaja Africa ku explore na matokeo yake akafa kwa malaria, unafikiri sehemu za kuishi huko Ulaya zilikuwa zimeisha?

Watu wanatafuta fursa, na usifikri huo mji mwezini watakaokwenda ni wananchi kutoka Katoro ...

Watu wanafuata fursa, kazi , biashara na pesa..
Mji kwenye mwezi ni industrial base, kampuni zitakazokuwa zinazalisha gas huko mwezini, zinachimba helium 3 na madini mengine zitahitaji mafundi wa mitambo, wapishi, wahandisi,madaktari, wataalamu wa computer, wataalamu wa miundombinu n.k...

Hao hawaendi kama watalii, wanakwenda kama wafanya kazi watakaolipwa fedha nyingi sana, watafanya kazi za viwandani na miundombinu..

Mfano kama walipelekwa wafanyakazi 1000, watahitaji chakula ndio maana unaona kumekuwa na majaribio sana ya kutaka kufanya kilimo cha greenhouse huko mwezini..

Watahitaji huduma za afya, burudani na mawasiliano...
Hivyo ndivyo mji unaanza kujijenga, hata Dubai in 1960s ilikuwa jangwa vipi leo? Mji ulikuwa sababu watu waliona fursa..

Usisahau kuna mabilionea ambao wanapenda kuzunguka kitalii mahala mbali mbali duniani, wengine wanahitaji experience ya kwenda nje ya dunia, hivyo kwenye hio miji kutakuwa na mahoteli, wanafika huko kwa kulipa mamilioni ya dola kabla gharama halijawa nafuu..

Pia hivi sasa space race imerudi, nchini kama China na wao wanataka kutengeneza maabara za kutafiti huko mwezini kufikia 2030s.. hivyo kuna ushindani mkubwa wa kuelekea mwezini..
Hiyo idea ya watu kuchimba Helium 3 mwezini umeichunguza feasibility yake au unakariri hadithi za watu tu?

Uchimbe Helium 3 mwezini halafu uitumie wapi? Kwa kazi gani?

Unafahanu gharama za kusafirisha kilo moja kati ya mwezi na dunia?

Unaelewa Helium 3 inachimbwaje? Mwezini ipo kiasi gani? Changamoto za kuichimba zikoje? Cost benefit analysis ya kuchimba mwezini ikoje? Matumizi yake yakoje?

Unafananisha kwenda kuchimba madini mwezini na watu kutoka Dar kwenda Geita migodini? Hivi nilivyokuambia unapotaka kufananisha vitu chagua vitu vinavyofanana hukuelewa hilo somo?

Mabilionea watalii ndio wanatosha ku fund project ya kujenga mji mwezini? Kina mabikionwa wangapi na wataenda mara ngapi ili ku break even?

Hivi unazifikiria hizi habari kwa kina au unakariri pitch za watu ambao hata biashara zao huzielewi?

Unaelewa kuwa mwezini si Geita?
 
Naelewa cost ya uchukuzi kati ya mwezi na dunia ni kubwa, ndio maana SpaceX wanapambana kutengeneza starships ambazo uendeshaji wake na marekebisho ni gharama nafuu, kitu kitakachopelekea uchukuzi na usafirishaji kuwa gharama ndogo tofauti na mwanzoni...

Huko juu nimeeleza matumizi ya helium 3 kwenye vifaa vya utabibu, kwenye scanners kama zile zitumikazo bandarini ku scan makontena, nimeeleza pia Helium 3 kama chanzo safi cha nishati kisicho na mionzi tofauti na uranium/nuclear reactor... nimeeleza pia inatumika kupoza quantum computers..

Kuhusu uchimbaji na uchukuzi sio rahisi , kitu kutokuwa rahisi haimaanishi haiwezekani.. hilo inabidi ulitambue..

Nimesema pia Helium 3 inakadiriwa ipo karibu tani milioni 1..

Kilo 100 pekee za helium 3 zinaweza kuwa chanzo cha nishati ya umeme kwa mji mkubwa kwa mwaka mzima..

Miaka ijayo biashara ya helium 3 itakuwa na faida kubwa, sababu hata sasa SpaceX wanapambana kushusha gharama za usafirishaji wa anga..

NASA zamani gharama za kurusha kilo moja ya mzigo kwenda kwenye low earth orbit ilifikia hadi dola 54,000..

Leo hii SpaceX kwa kutengeneza rockets ambazo zinakwenda na kurudi gharama imefikia dola 1500 hadi 3000... huoni ni progress hio?
Hivyo kama wameweza kupunguza gharama kiasi hiko kwenda kwenye LEO, basi hata gharama za mwezini watashuhudia sana tu...

Na kama wana Starship za kubeba tani hadi 150 ina maana huko mwezini hizo mashine za uchimbaji zitafika tu...
 
Unataka kuchimba Helium 3 mwezini uje kuitumia kwenye vifaa vya utabibu na scanners za ports, unaelewa how cost prohobitive that is?

Helium 3 as a source of alternative energy on earth inahitaji ku burn 1 billion degrees Kelvin, utai burn wapi? Huna reactor hiyo.

Reactir zikizotumia Helium 3 kujifunza inavyofanya kazi zilitumia energy input kubwa kuliko output.

Rwactirs nyingine zinatumia D-T zinapata 100x energy at the sane temoerature.

So Helium 3 is unrwalistic and nit feasible for oractical uses as a source if energy so far

You are being speculative

Unaelewa kuwa unaweza kupata Helium 3 from heavy water/sea water deuterium + deuterium fusion na uka skip haja ya ku mine helium 3 mwezini?

Deuterium-Trinitium fusion is even more cost effective.

"Deuterium-tritium (D-T) fusion is the realistic, near-term path for nuclear fusion because it ignites at much lower temperatures and uses readily accessible fuel. Mining the Moon for helium-3 is a speculative, long-term concept facing steep economic and physics hurdles, as helium-3 requires extreme ignition temperatures and exists in tiny trace amounts in lunar soil."

Unaambiwa mpango wako ni speculative, uneconomic and physically unrealistic.

Haya ndiyo mambo niliyosema tangu awali.
 
Wabongo huwa mnataka matokeo ya haraka na shortcuts.. huu utamaduni wa kupenda vitu rahisi rahisi ndio maana kuamini mtu anaweza akafanya mambo magumu huwa hatuamini..

Jamii zetu zimetujenga kuamini mambo magumu hayawezekaniki na vyema kutokujisumbua na hapo ndipo wazungu walipotuacha...

Watu wana projects toka miaka ya 1980s mpaka leo hawajakamilisha na wanapambana.. hakuna excuses wala kukata tamaa...

Juzi nasoma mtandaoni naona rockstar games wanaachia GTA VI mwishoni mwa mwaka huu , wametumia miaka 14 kutengeneza video game...

Hio miaka 14 engineers na programmers wanakwenda kazini na wanarudi nyumbani, wanalipwa mshahara , miaka 14, ndipo ujue watu wapo serious...

Mwaka 2000 ungemuambia Mwafrika hasa mbongo kwamba 2026 kutakuwa na AI ambayo itaweza kuwaza kama mtu, itaweza kufanya mambo ya kustaajabisha, itaweza kuimba na hata kupiga story na binadamu, wengi wangesema ni uongo na uzushi, haitawezekana, here we are...

Waliotengeneza AI wangekuwa na akili za hovyo kama zetu , wangekuwa na akili hizi za kupenda vitu rahisi na shortcuts, kuamini haiwezekani.. leo hii AI isingekuwepo.. na mtaendelea kushika mkia mpaka mwisho wa dunia msipobadili fikra..
Sio matokeo ya haraka wala shortcuts. Musks kwenye hilo suala la space amekuwa ni mtu wa kufall back to his promises. Mara ya mwisho kasema kwa sasa focus yao ni mwezi na si mars tena. Unakumbuka aliahidi watu watakuwa wanaishi Mars by 2025 if not mistaken na haijatokea na wala hata hiyo rocket ya kuwezesha hilo haijawa tayari.
Jamaa ana element ya kutoa ahadi ili kuhype stock za makampuni yake.
 
Ndiyo maana nikasema hawa waumini wake wanaingia katika mtego wa kushabikia hadithi ambazo hawaelewi zinakuwa hyped kwa sababu gani.

Wao wako excited na hii hadithi ya science fiction kama fanboys, wakati mwenzao anajipanga kuwapiga kwa kuwauzia mbuzi kwenye gunia na biashara nyingine za kanyaboya.
 
Unataka kuchimba Helium 3 mwezini uje kuitumia kwenye vifaa vya utabibu na scanners za ports, unaelewa how cost prohobitive that is?

Helium 3 as a source of alternative energy on earth inahitaji ku burn 1 billion degrees Kelvin, utai burn wapi? Huna reactor hiyo.

Reactir zikizotumia Helium 3 kujifunza inavyofanya kazi zilitumia energy input kubwa kuliko output.

Rwactirs nyingine zinatumia D-T zinapata 100x energy at the sane temoerature.

So Helium 3 is unrwalistic and nit feasible for oractical uses as a source if energy so far

You are being speculative

Unaelewa kuwa unaweza kupata Helium 3 from heavy water/sea water deuterium + deuterium fusion na uka skip haja ya ku mine helium 3 mwezini?

Deuterium-Trinitium fusion is even more cost effective.

"Deuterium-tritium (D-T) fusion is the realistic, near-term path for nuclear fusion because it ignites at much lower temperatures and uses readily accessible fuel. Mining the Moon for helium-3 is a speculative, long-term concept facing steep economic and physics hurdles, as helium-3 requires extreme ignition temperatures and exists in tiny trace amounts in lunar soil."

Unaambiwa mpango wako ni speculative, uneconomic and physically unrealistic.

Haya ndiyo mambo niliyosema tangu awali.
Kwanza unaelewa He3+He3 katika ku produce energy ni nishati salama zaidi, nishati safi na rahisi kuifanyia conversion kuwa nishati? Changamoto yake ni inahitaji joto karibu 400 million degree Celsius... Naamini hilo litafanyiwa ufumbuzi miaka ya baadae...

D+T ina mionzi hatari , ina radioactive material, pia kufanya conversion kuwa energy ni mpaka itumike steam turbines..

Hivyo kuna mahala Helium 3 itakuwa na umuhimu dhidi ya hio D+T...

He3 pia nilielezea faida zake kwenye utabibu, nikaeleza matumizi ya He3 kwenye kupooza quantum computer, quantum computer zinahitaji joto dogo sana , close to absolute zero, yaani zina operate kwenye millikelvin 10 ama 15... juu ya hilo joto qubits za quantum computer huharibika.. changamoto kubwa ya quantum ni namna ya kuzi cool, ndio maana nyingi huwekwa kwenye ma fridge makubwa...

Nimeeleza pia matumizi ya He3 kwenye vifaa vya kitabibu, mgonjwa akimeza gas ya He3 kama anachunguzwa mapafu, He3 inapelekea MRI ione mapafu kwa contrast nzuri zaidi.. hata vinjia vidogo kabisa kwenye mapafu kwa udogo wa sub millimeters huonekana.. MRI inaona hewa inapita wapi na wapi haipoti kwenye mapafu, hii inagundulika wakati ambao vipimo vingine bado havijaona tatizo lolote lile kwenye mapafu... wataalamu wa afya wanaelewa ugumu uliopo kwenye upimaji wa mapafu kwa undani...

Kingine nimekuelezea pale vyema faida zitakazopatikana baada ya viwanda mbali mbali na mji kujengwa juu ya mwezi..

Nilisema mwezi kutumika kama gas station , vyombo vinavyoruka kutoka duniani kwenda anga za mbali kwa tafiti na masuala mbali mbali hutumia kiasi kikubwa cha nishati wakati wa kuruka tokana na gravitational force iliyopo duniani.. kwenye mwezi gravitational force ni 1/6 ya kwenye dunia...

Hii ina maana mwezi utatumika kama kituo rasmi cha ku refuel rockets,ama pengine kikawa kituo cha ku launch rockets mbalimbali kwenda anga za mbali na sayari zingine...

Chombo kama kinakwenda anga za mbali , kinaweza kuruka kutoka duniani, kikafika mwezini, kikajaza fuel, tokana na uvutano mdogo sana uliopo mwezini, chombo hiko kunaweza kufika anga za mbali zaidi, maana mwezi utatumika kama gas station kwenye space... kwa hilo SpaceX , NASA na kampuni zitakazojihusisha na hayo masuala wataingiza fedha nyingi...

Kingine kwenye mwezi kuna wazo la kuweka data center, katika wakati huu ambapo AI inakua kwa kasi, kuna kampuni zimeshaanza kufanya majaribio ya kuweka data center kwenye mwezi, kwenye mwezi kuna uoatikanaji wa mwanga wa jua ambao ni endelevu hasa maeneo baadhi kwenye yana upatikanaji wa jua asilimia 90 ya muda wote...

Mwezi huzunguka dunia kwa siku 28, week mbili ni daylight na week mbili ni giza, lakini kuna high elevation spots ambapo mwanga wa jua hupatikana asilimia 90 ya muda kwa mwaka mzima...

Faida za kuweka data center mwezini ni pamoja usalama wa data ikitokea uharibifu wa aina yeyote ile utakaotokana na natural disaster, ama vita n.k ... nadhani ulisikia vita ya Russia na Ukraine wakishambuliana data centers zao... hata kule middle east Iran alishambulia data centers za kimarekani maeneo ya gulf...

Data center hasa za AI zinahitaji nishati kubwa sana ya umeme na nafasi kubwa, kwa kuweka data center hizo mwezini..

Kwenye mwezi nishati ya jua ina nguvu zaidi kuliko duniani, sababu mwezini hakuna atmosphere, nishati ya jua inafika ikiwa na nguvu.. duniani kuna atmosphere ambapo kuna vumbi, mawingu, unyevu , mvua, hivi vyote hupunguza ile nguvu ya mwanga wa jua....

Maabara za kutafiti zikijengwa mwezini bado kuna mengi yatagundulika huko, maana bado ni suala ambalo lipo katika stages za mwanzoni.. kuanza kusema hiki na kile hakiwezekani sababu faida haionekani unakuwa haupo sahihi...

Wenzako wanafanya tafiti kwa muda mrefu, maana yawezekana kuna faida nyingine nyingi tu zitapatikana na vumbuzi nyingi kutokea tokana na mwanadamu kufika na kuweka makazi mwezini..
 
Haya yote yanafanyika lini? He3 kwa sasa ni speculative idea than practical, walioitumia wameonesha you put more energy in than what you get out, that is not a practical use.

Mfano tatizo ya energy zinazotakiwa kutumika ili kutumia He3.

Unapoandika "naamini hilo litafanyiwa ufumbuzi miaka ya baadaye" ndipo nina tatizo napo.

Kwa nini unaongelea imani badala ya facts? Hapa ndipo nasema unamuamini Elon Musk badala ya kuelewa mambo, na hili ni tatizo.

Hujaelezea hilo tatizo litakabiliwa vipi, hujaelezea sasa watu wamefikia wapi katika kulikabili, hujaelezea kwa soeed ya sasa ya kulikabili, watalimaliza lini, hujaelezea kwa nini alternative solitions ambazo zinaweza kuwa na changamoto zake, mfano kitokuwa safi sana, zisionekane bora zaidi kwa sababu zenyewe zinawezekana kwa urahisi zaidi. Aftwr all people still ise coal despite solar energy being available necause coal is still more practical for some use cases.

Unaamini amini tu mambo!
 
We unadhani pesa zake za kwenye stock sio pesa? Hata kama anachofanya ni kupandisha shares kwenye kampuni hakuna ubaya, hao wazungu mambo yao hawana mbambamba sio kama uswahili wa Bongo...

Musk kwenye kununua twitter aliuza shares zake za Tesla thamani ya dola bilioni 27, alinunua twitter kwa dola bilioni 44, pesa zingine alichukua mkopo bank hio ni kawaida kwa wafanya biashara kukopa, hata nchi inakopa, pesa nyingine iliyobaki watu walinunua shares za twitter akawa tayari kainunua...

Sasa mtu ambae alibadili shares ikawa dola bilioni 27 , unamlinganisha na C Ronaldo ambae utajiri wake wote haufiki dola bilioni 2?

Unapozungumzia utajiri wa stock, elewa kwamba inabidi ufanye kazi haswa hadi wawekezaji wakuamini na kununua shares za kampuni yako, hakuna janja janja na utapeli ule wa Kibongo...

Yeye kupata hio networth uelewe tu alifanya ambacho wengine wafanya biashara wengine walishindwa kufanya... kanuni ni rahisi sana, ukitaka kupata kitu ambacho hukuwahi kukipata maishani mwako inabidi pia ufanye kitu ambacho hukuwahi kukifanya maishani mwako... easy as that...

Ingekuwa rahisi kuwa multi billionaire kama yeye kwa kudanganya watu na kuwapa false hope ili wanunue shares basi elewa tu multi billionaires kama yeye wangekuwepo wengi hapo US na nchi zingine...

Hakuna tajiri anakwenda kununua shares kwenye kampuni ambayo wao ni wapiga domo kuliko vitendo..

Lazima ufanye kitu tena cha utofauti na wengine..
Hakuna aliesema analala na kuamka tu halafu anaanza kudanganya watu. Wote tunajua huyo Musk ni workaholic. Lakini kuna masuala pia anafanya siasa kupandisha thamani makampuni yake.

Utajiri wa hisa ni wa kwenye makaratasi, sio cash mzee baba. Hiyo twitter kuinunua alilazimika kuwaandikia barua shareholder kuwaambia dhumuni la kuuza hisa zake. Vinginevyo shareholders wengine nao wangepanick kwa wasiwasi kwamba kampuni inaenda kufirisika wangeweka hisa zao sokoni na kampuni ingeshuka thamani maana yake na utajiri wake ungepolomoka.

Inawezekana kabisa akazidiwa cash deposit na cristiano ronaldo. Kwa sababu ronaldo. Kwa sababu utajiri wa ronaldo sio wa hisa. Pesa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti.

Kuamishia makazi ya watu mars aliwapiga kamba, nakuakikishia na hili la kujenga mji mwezini ni kamba pia. Lengo lake hapa kupandisha thamani ya kampuni yake ya space x
 
Haya yote yanafanyika lini? He3 kwa sasa ni speculative idea than practical, walioitumia wameonesha you put more energy in than what you get out, that is not a practical use.

Mfano tatizo ya energy zinazotakiwa kutumika ili kutumia He3.

Unapoandika "naamini hilo litafanyiwa ufumbuzi miaka ya baadaye" ndipo nina tatizo napo.

Kwa nini unaongelea imani badala ya facts? Hapa ndipo nasema unamuamini Elon Musk badala ya kuelewa mambo, na hili ni tatizo.

Hujaelezea hilo tatizo litakabiliwa vipi, hujaelezea sasa watu wamefikia wapi katika kulikabili, hujaelezea kwa soeed ya sasa ya kulikabili, watalimaliza lini, hujaelezea kwa nini alternative solitions ambazo zinaweza kuwa na changamoto zake, mfano kitokuwa safi sana, zisionekane bora zaidi kwa sababu zenyewe zinawezekana kwa urahisi zaidi. Aftwr all people still ise coal despite solar energy being available necause coal is still more practical for some use cases.

Unaamini amini tu mambo!
Umeona ushikilie bango kuhusu kutumie Helium 3 kuzalisha nishati...
Hujaona faida zingine nilizoorodhesha hapo?
Suala la msingi ni gharama zitakazotumika kujenga industrial base kwenye mwezi na namna ROI itakavyofanyika...

Helium 3 kuitumia kama chanzo cha nishati inatoa zero radioactive waste...

Tunaona sasa namna dunia conflicts zinazoendelea duniani kuhusu nuclear, nuclear reactors zinapolengwa na missiles, zinatoa emissions ama mionzi ambayo ni hatari kwa viumbe hai, ni hatari hata kwa ardhi...

Ndio maana nakuambia miaka ya mbeleni itafanyika itakuwa practical...

Ungewaambia watu wa miaka ya 1800s kwamba huko mbeleni kutatokea computers ambazo zitakuwa na akili (AI) na kufanya tasks kama binadamu wangekuona mwehu...

ENIAC computer ya mwanzoni miaka ya 1945 ,ilikuwa inatumia kiasi cha umeme, 150 Kilowatts, ilikuwa ikiwashwa hadi taa za mji wa Philadephia zina dim, kama zinataka kuzima...

Ilichukua eneo karibu 167 square meters...
Computer ilizalisha joto ambalo ni la juu sana kiasi kwamba pasipo kutengeneza mfumo maalumu wa kupooza joto lilelenge ile computer ingeyeyuka..

Uzito ilikuwa 30 tons..
Leo hii saa ya mkononi ina uwezo wa ku process vitu complex kuliko ambavyo ENIAC ilifanya..
Ungemuambia mtu kama wewe miaka ile kwamba siku moja computer itakuwa na ngugu zaidi katika udogo sawa na saa, na itatumia battery ya ku charge ya volts chache sana usingeamini..

ENIAC ya 1945 haifikii hata robo ya uwezo wa smart watch kwa leo...

Hivyo watu kama wewe mpo, na mie sishangai, technology kila siku inakua..

Huo mwaka 1945 wanasayansi walikuwa wamekwisha gundua ya kwamba silicon inaweza kutumika kama semiconductor lakini namna ya kui purify iweze kutumika kutengeneza transistor ndipo ugumu ulipokuwa...

Purification ndipo zoezi lilikuwa gumu, ku purify silicon ifikie purification ya 99.99% ilikuwa gharama kubwa na ilihitaji joto takribani 2550 degree Celsius.. na specialised chemical technique ambapo kwa kipindi hiko ilikuwa ngumu sana kufanyika..

Germanium ilitumika kama transistor baada ya vacuum tubes ambazo zilitumika mwenye ENIAC, lakini germanium transistors zilikuwa na kasoro ya kushindwa kufanya kazi juu ya joto 70 degree Celsius...

1954 ndipo ikawezekana ku purify silicon hadi kufikia hatua ya kutengeneza transistor...

Transistor moja ili cost dola 100 ya kipindi hiko sawa na US dollar 1100 au zaidi za leo hii...

Leo hii saa inabeba mamilioni ya transistors na hio saa unaweza nunua hata Tshs 20000...

Ngoja niishie hapo...
Ukisoma na kutazama documentaries za tech kama mimi hutoleta ubishi wa ajabu kwamba hiki hakiwezekani, kile hakiwezekani, tech inahitaji muda... tech inabadilika, historia inaonyesha hivyo, naweza kukupa mifano mingi tu...
 
I am bored by your science fiction stories. I can read Asimov and Clarke, they are better at it.

Unanuaje hizo documentaries za tech sijaziangalia? Kusoma nini unqpomuongelea? Wewe umesoma nini cha ajabu ambacho kinakufanya uwe condescending hivi?

Hebu kiweke hapa tukijadili.

Tatizo tunaongelea vitu viwili tofauti.

Wewe uko excited kiimani na story ya science fiction inayo inspire, bila kukubali changamoto za uhalisia, kuwa na path to product wala timeline.

Wewe ni muumini wa teknolojia. This is actually unscientific.

Hilo nalielewa mpaka umubinu wake, tatizo nishapita hapo. Natafuta kuongelea mambo yanayowezekana na oath to product zaidi ya kuwa excited na kuamini na kuhadithia science fiction.

Mimi naongelea kuelewa changamoto na hata ukitaka kuwa excited na inspired uelewe path to product, uwe na angalau timeline, uwe na angalau realistic plan.

Wewe unaota ndoto.

Hatuwezi kuelewana.
 
Ndio maana nakuambia hata mtu wa mwaka 1945 ungemuambia 2026 kutakuwa na computers ndogo za kubeba mkononi , zikifanya masuala ya AI , mtu kama wewe ungesema ni science fiction...
 
Kama angekuja na mpango wa kuonesha timeline, feasibility, path to product, isingekuwa issue.

Mwaka 1945 pia kulikuwa na science fiction kuwa kufikia mwaka 2000 kila mtu angekuwa anaendesha gari linaloweza kupaa angani, lakini haikuwa hivyo.

Kwa hiyo si kila kitu kilichosemwa kitakuwapo baadaye mwaka 1945 kimetokea.

Tatizo lako huweki hata timeline, unasema tu "baadaye".

Unafanya habari yako kuwa haina maana na haiwezi hata kurejewa na vizazi vya baadaye kuona kama ulikuwa sahihi ama la kama mimi ninavyiweza kurejea watu wa mwaka 1945 waliosema kuwa kufikia mwaka 2000 kila ntu ataendesha gari lake la kupaa angani.

"Baadaye" is not only meaningless, it is lazy.
 
Kujenga , kwa mbali inaingia akilini...lakini mazingira ya mwezi sio LIFE SUPPORT kwa binadamu...ndio maana hata hizo mission zao wanakuwa na protective gears kibao....sasa unajenga ili iweje?
 
Back
Top Bottom