Elon Musk ataka kujenga jiji mwezini, ndoto yake inawezekana?

Punguza roho mbaya na uchawi..
Heshimu jitihada za mtu..
Wewe ndio aina ile ya watu ukiona mtu kafanikiwa badala ya kukubali hustle zake mnaanza kusema ni mshirikina, ama anauza madawa...

Jifunze kuheshimu hustle za mtu.. itakusaidia..
Punguza ujuaji na kuwa chawa kwa mtu usiyemfahamu.
 
Wana malengo ya muda mrefu, usifikiri kujenga mji kwenye mwezi ni kazi nyepesi..

Musk huo uwezo anao, ana uthubutu na haogopi kujaribu...
Unaposema Musk uwezo huo anao una maana gani?

Unaweza kuweka details?
 
Nakubali alichofanya, hata starlink Internet ni juhudi zake ambapo leo hii hadi huko Ukraine wanategemea internet ya starlink...

SpaceX ni juhudi zake..
Tesla EVs ni juhudi zake..
Kwanza unajua kuwa waanzilishi wa Tesla, Martin Eberhard na Marc Tarpenning, wamewahi kumfungulia kesi mahakamani kwa kutaka kujimilikisha sifa asizostahili? Unalijua hili?

 Nitajie mhandisi yeyote mkubwa wa roketi au magari aliyewahi kufanya kazi chini ya Musk ambaye amewahi kukubali kuwa Musk ndio anayegundua hizo teknolojia.
 
Unaposema Musk uwezo huo anao una maana gani?

Unaweza kuweka details?
Ndio anaweza kwa sababu ana rasilimali ana teknolojia ana mtaji na ana taasisi zilizothibitishwa ambazo zinaweza kufanya mradi huo ufanikiwe..

NASA shirika ambalo lina wataalamu na wanasayansi wakubwa zaidi duniani kwenye masuala ya anga wamemuamini na kuingia nae mkataba wa dola bilioni 2.9 kutengeneza chombo kiitwacho Starship HLS ambacho kitaweza kupeleka wanasayansi wa NASA mwezini kupitia program wanayoita Artemis..

Kama wanasayansi wa NASA wameridhika na uwezo wa SpaceX kwa kushirikiana na kutengeneza chombo cha kwenda mwezini hilo si suala dogo ni uthibitisho kwamba SpaceX wanaweza...

SpaceX wana Starship, hakuna nchi duniani wala kampuni wanamiliki Starship kama waliyonayo SpaceX, ina nguvu na inabeba waru na tani hadi 150 za mzigo na kuupeleka kwenye orbit ya dunia.. ndio rocket kubwa zaidi na yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye historia ya mwanadamu..
Starship hio inakwenda angani na kurudi..

Hivyo ikitokea wanajenga mji, hizo Starships ndizo zitakuwa zinapeleka vifaa huko mwezini..

SpaceX wana miradi mingine kama starlink Internet na hurusha satellites za nchi nyingine au satellite za kijeshi na kulipwa ambapo wanaingiza pesa ambazo zitawasaidia kuendesha mradi huo wa kwenda mwezini , ina maana hawategemei tu fedha kutoka serikalini.. ina maana wana cash flow.. hii inasaidia wazidi kufanya R&D pasipo kufilisika..

Kingine historia inaonyesha Musk ameshafanya mambo ambayo wengi waliona hayawezekani, mfano katikati ya miaka ya 2000s watu walidai haiwezekani kupeleka rocket angani na ikarudi imesimama wima na ikatua.. Musk alipambana na likawezekana hilo..

Pia kwenye magari ya EV, mwanzoni watu walisema gari za umeme zisingeweza kupambana sokoni na gari zinazotumia mafuta, ni kama watu hawakuamini uwezo wa gari za umeme, tazama leo baada ya Tesla kuleta mapinduzi kwenye EVs kila mmoja sasa anazungumzia gari za umeme... gari za umeme sasa imekuwa kawaida kutumika kila siku...

Hivyo track record inaonyesha Musk alisha zungumza ideas baadhi na kubezwa na akazifanya zikafanikiwa hivyo nina uhakika hata hili la mwezini atafanikiwa tu.. maana tayari ana taasisi yenye wanasayansi na wataalamu wanaoshirikiana...
 
Punguza ujuaji na kuwa chawa kwa mtu usiyemfahamu.
Huwezi kumfahamu kila mtu..
Hata wanasayansi tunaosoma theories zao na kazi zao kwenye masomo shuleni hatuwafahamu wala walimu wanaotufundisha hawa wafahamu lakini kazi zao tunaziona na...

Musk simfahamu lakini kazi zake nimeziona...

Naona sasa unakosa hoja...
 
Tatizo unaandika assumptions mtupu, yani una copy mahali unakuja kupaste humu halafu kwa akili yako unaona ni hoja sahihi.
 
Ndio maana nikasema huna hoja...
Ukishazidiwa hoja unaanza kusema nime copy..

Unachopaswa ni kujibu hoja... huna hoja kaa kimya..
 
Kwenda Mars mara moja inachukua miezi 6 hadi 9.. kwenda mwezini ni siku 3..
Kifupi kabisa unatakiwa tu uelewe hiki unachokitetea kwenye huu uzi hakiwezi kufanyika kirahisi kama unavyotaka kutuaminisha hapa.
 
Kuna madini yapo mwezini.. Na pia SpaceX wakifanikiwa kutengeneza Starship ya kupeleka mizigo na watu mwezini watakula contract na serikali, mashirika na makampuni mbali mbali wanakuwa wao ndio kama FedEx ama DHL wa kwenda mwezini...

Kuna wanasayansi watahitaji mchanga kutoka mwezini, wao spaceX ndio watakuwa wanafanya hayo maana watakuwa wana Starship kubwa kwa ajili ya usafiri...

Mwezini kuna helium 3, gram moja ya helium 3 inafikia dola 19,000, milioni 50 kwa Tshs kwa gram 1.

Duniani kuna kiasi kidogo sana cha helium 3, helium 3 ina matumizi mengi ikiweno kutumika kama chanzo cha nishati, kama ilivyo uranium, lakini H3 haina madhara wala haitoi mionzi ambayo ni hatari...

H3 duniani kwa mwaka mzima wanapata kilo 10 hadi 20..

Huko mwezini helium 3 inasemekana ni zaidi ya tani milioni moja...

H3 ina matumizi mengi , inatumika kupoza super computers/quantum computers... inatumika kwenye utabibu hasa vifaa vya diagnosis kama MRI machines n.k.. inatumika kwenye bandari ku scan makontenna, na matumizi mengine..

Hivyo wakifanikiwa kujenga mji mwezini watajenga na kituo cha kuuza hio Helium 3...
Nimekupata vyema.
 
Ndio maana nikasema huna hoja...
Ukishazidiwa hoja unaanza kusema nime copy..

Unachopaswa ni kujibu hoja... huna hoja kaa kimya..
Huna mamlaka yoyote ya kuniambia nikae kimya, hili weka akilini kwanza.

Nimekuuliza maswali hapo #63 haujajibu, unaleta blah blah tu hapa.
 
Huna mamlaka yoyote ya kuniambia nikae kimya, hili weka akilini.

Una copy sehemu hili liko wazi, ukubali ukatae.
🤣🤣🤣
Mimi ni mtengenezaji hoja mzuri kabla AI haifahamiki na kama ilikuwepo basi ilikuwa katika beta version ...

Sasa sijui wakati huo ungesema na copy wapi...
 
Mhh wakati huku kwetu miaka zaidi ya 60 ya uhuru lakini maji tuu shida mahali kama chuo kikuu cha kuwapika wataalamu hakuna maji vyoo vinafungwa....
Alaf wewe unakaa kuchekea vitu vya ajabu unategemea nani abadilishe?
 
🤣🤣🤣
Mimi ni mtengenezaji hoja mzuri kabla AI haifahamiki na kama ilikuwepo basi ilikuwa katika beta version ...

Sasa sijui wakati huo ungesema na copy wapi...
Majibu huwa yanatoka kwa AI tu?
 
Huna mamlaka yoyote ya kuniambia nikae kimya, hili weka akilini kwanza.

Nimekuuliza maswali hapo #63 haujajibu, unaleta blah blah tu hapa.
Hio post namba 63 naona herufi K tu... sijui huko kwako unaonaje..
1000000080.jpg
 
🤣🤣🤣
Mimi ni mtengenezaji hoja mzuri kabla AI haifahamiki na kama ilikuwepo basi ilikuwa katika beta version ...

Sasa sijui wakati huo ungesema na copy wapi...
Oyaa huyo jamaa utajisumbua tuu
Ni hanaga hoja kabisa.. Tena siku hizi ndo amelijua hilo
 
Back
Top Bottom