100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Elon Musk , Tesla, SpaceX, and the Quest for a Fantastic Future kimeandikwa na Aslee Vance...Mkuu taja jina la Hicho kitabu tule madini
Vipo vingine pia..
Elon Musk , Tesla, SpaceX, and the Quest for a Fantastic Future kimeandikwa na Aslee Vance...Mkuu taja jina la Hicho kitabu tule madini
Okay.Masikini umekaa kwenye uswekeni unakula Bangi na kisimu chako cha tekno unasema tajiri namba 1 duniani ni mzee wa kubadiri gia angani.
Wewe ukisema 'I cant' na akili yako inaishia hapo , ina shutdown, mwenzako anasema 'how can I do it' ... na anafanya anaweza...Nonsense!
Kumbe unaongelea namna wanavyofikiri wengine na siyo wewe?Wewe ukisema 'I cant' na akili yako inaishia hapo , ina shutdown, mwenzako anasema 'how can I do it' ... na anafanya anaweza...
Kwa mambo ambayo Musk ameshafanya sina mashaka nae, hata akichekewa ni kutokana na ugumu wa utekelezaji...
Huyo anachezea watu akili ku-promote biashara zake. Unajua utajiri wake huyo ni wa hisa sio cash. Huyu ukimpeleka kwenye cash anaweza kuzidiwa hela mpaka na cristiano ronaldo. Kwahiyo anawauzia watu illusion tu kupandisha thamani ya makampuni yake kwenye soko la hisa. Juzi tu kasema miaka 10 ijayo watu wataamia kwenye AI kwahiyo hela hazitakiwepo tena. Huo ni uongo anawapiga watu kamba kwa sababu yeye pia yupo uko kwenye AIWana malengo ya muda mrefu, usifikiri kujenga mji kwenye mwezi ni kazi nyepesi..
Musk huo uwezo anao, ana uthubutu na haogopi kujaribu...
Huu ndio ukweli ambao mashabiki maandazi hawataki kuukubali, utajiri mzima wa Musk unategemea hype ya soko la hisa, kila akiongea kuhusu jambo fulani kutaka kulifanya wajinga wanakimbilia kununua hisa zake, bei inapanda, yeye anazidi kuwa tajiri, utekelezaji unabaki kuwa ni ndoto kila siku.Huyo anachezea watu akili ku-promote biashara zake. Unajua utajiri wake huyo ni wa hisa sio cash. Kwahiyo anawauzia watu illusion tu kupandisha thamani ya makampuni yake kwenye soko la hisa. Juzi tu kasema miaka 10 ijayo watu wataamia kwenye AI kwahiyo hela hazitakiwepo tena. Huo ni uongo anawapiga watu kamba kwa sababu yeye pia yupo uko kwenye AI
Utajiri wa hisa sijawahi kuuelewa kabisa, yaani hapo akitaka kuinunua hata manchester united tu inabidi auze kwanza hisa zake, na hisa zikiingizwa sokoni kwa uwingi maana yake thamani inashuka na utajiri pia unapolomoka.Huu ndio ukweli ambao mashabiki maandazi hawataki kuukubali, utajiri mzima wa Musk unategemea hype ya soko la hisa, kila akiongea kuhusu jambo fulani kutaka kulifanya wajinga wanakimbilia kununua hisa zake, bei inapanda, yeye anazidi kuwa tajiri, utekelezaji unabaki kuwa ni ndoto kila siku.
Sahihi, ndio maana hata wakati ananunua Twitter (X) kwa bilioni 44, ilibidi achanganye mikopo mikubwa ya mabenki na kuomba wafanyabiashara wengine wamsaidie kwa sababu yeye mwenyewe kutoa hiyo cash ingeyumbisha vibaya sana makampuni yake.Utajiri wa hisa sijawahi kuuelewa kabisa, yaani hapo akitaka kuinunua hata manchester united tu inabidi auze kwanza hisa zake, na hisa zikiingizwa sokoni kwa uwingi maana yake thamani inashuka na utajiri pia unapolomoka.
Yap, kununua twitter alilazimika kuwaandikia barua shareholders kwanini anauza hisa zake. Maana ingesababisha panick na wao wakaingiza zao sokoni kwa kuogopa labda kampuno inaenda kufirisika.Sahihi, ndio maana hata wakati ananunua Twitter (X) kwa bilioni 44, ilibidi achanganye mikopo mikubwa ya mabenki na kuomba wafanyabiashara wengine wamsaidie kwa sababu yeye mwenyewe kutoa hiyo cash ingeyumbisha vibaya sana makampuni yake.
Hii ndio picha halisi ya hawa mabilionea wa Marekani. Wanauziana hisa na kusaidiana kisiri siri ili kulinda utajiri wao, sasa mtu anayesumbuka kukusanya hela za kununua tu mtandao wa kijamii, mtu anaamini tu kirahisi kuwa anaweza kuwa na jeuri ya kujenga jiji zima linalojitegemea kwenye Mwezi kwa hela zake mwenyewe, uongo wa hali ya juu.Yap, kununua twitter alilazimika kuwaandikia barua shareholders kwanini anauza hisa zake. Maana ingesababisha panick na wao wakaingiza zao sokoni kwa kuogopa labda kampuno inaenda kufirisika.
Ilibidi pia aongee na wafanya biashara wawekeze kwenye mpango wake wa kununua twitter. Pdidy pia akitoa hela kwa masharti ya kwamba project ya kuamishia makazi ya watu mars ikikamilika awe mtu wa kwanza kufanya sex uko mars
Wengi hawana ujuzi wa mambo ya finance and economics. Hizi mind games za wakina Musk na Trump hawazijui.Hii ndio picha halisi ya hawa mabilionea wa Marekani. Wanauziana hisa na kusaidiana kisiri siri ili kulinda utajiri wao, sasa mtu anayesumbuka kukusanya hela za kununua tu mtandao wa kijamii, mtu anaamini tu kirahisi kuwa anaweza kuwa na jeuri ya kujenga jiji zima linalojitegemea kwenye Mwezi kwa hela zake mwenyewe, uongo wa hali ya juu.
Ukishafahamu tu dunia inaendeshwa na geopolitics na market speculation huwezi kuwa shabiki maandazi wa kukubali kila kinachotamkwa na hao watu.Wengi hawana ujuzi wa mambo ya finance and economics. Hizi mind games za wakina Musk na Trump hawazijui.
Trump kila siku anaiongelea strait of hormuz watu wanamchukulia Trump ni mlopokaji tu. Hawajui kama ana mtoto wake anamiliki kampuni ya kusafirisha mafuta. Kauli ya rais wa marekani ina-determine mambo mengi sana sokoni.
Akili zetu watu weusi ni za kichawi kichawi tupuKafeli kuelekea Mars akaona aibu, sasa hivi anasingizia mwezi upo karibu, endelea kuamini hivyo hivyo, utakufa na hakuna kitu atakamilisha.
Kukugeuza wewe kuwa mke wangu.Akili zetu watu weusi ni za kichawi kichawi tupu
Kwa mfano Mdogo, wewe unaweza kitu Gani mkuu ambacho ukikifanya, Dunia itasituka? 🤣
Kwanza kusudi la msingi la kuihama dunia ambayo imekuwepo maelfu ya miaka na hatujawahi kusikia ikikumbwa na overpopulation au janga la njaa kwa sababu za ukame wa kiasili ni nini?Binafsi siamini kama ipo siku binadamu ataweza kuishi mwezini kama anavyoishi hapa duniani
Kama dunia itafikia kuwa uninhabitable, basi huo ndo utakuwa mwanzo wa human extinction, hizo porojo mara kwenda mwezini sijui mars ni project unfeasibleKwanza kusudi la msingi la kuihama dunia ambayo imekuwepo maelfu ya miaka na hatujawahi kusikia ikikumbwa na overpopulation au janga la njaa kwa sababu za ukame wa kiasili ni nini?
Hawa jamaa utajiri wao unapatikana kwa gharama kubwa ya maisha ya watu wengine hapa duniani. Vumbuzi zao zimekuwa ni majuto kwa wengine na wao wafanikiwe. Huu sio utajiri bali ushetani