Elon Musk ataka Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Sauti ya Amerika (VOA) zifungwe akidai hazina umuhimu tena

Eric Shigongo (MP) CCM naye atoa neno kuhusu uamuzi wa serikali ya Marekani, na aelezea mstuko mkubwa wa serikali ya CCM ...



View: https://m.youtube.com/watch?v=8AO33Klvr3E
Eric Shigongo pia anauambia dunia kuwa Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kupokea watalii kutoka nje, umeme ni wa kumwaga kutokana na bwawa la Umeme la JNHPP kukamilika, yaani mambo ni mengi mazuri chini ya awama ya rais Dr. Said Suluhu Hassan
 
.

Ni kama Marekani imetoa nafasi kwa mataifa mengine makubwa kutengeneza ushawishi
Hili ndilo jibu, kushuka kwa ushawishi WA Marekani Duniani.
Ile falsafa yake ya: "Making America Great Again-MAGA" naona itakwenda kinyumenyume; itakuwa: "Making America Weak Again-MAWA"
 
Thanks mkuu, umesema kama nilivyofanya analysis yangu kichwani. MAGA inaendakufanya America isiwe tena superpower, behind the scen misaada ya Amerika ilikuwa ni kuifanya iwe na sauti kwa wanufaika, matharani NATO washirika wote ilikuwa lazima wakubaliane na mawazo ya Marekani, UN agencies zote zilikuwa zikibeba agenda za Marekani, nchi za Africa zilikuwa hazikohoi kwa USAID, kile America anataka walikuwa wanatiii, na huo ndo usuperpower.

Anaondoa nyenzo zilizokuwa zinaipa Marekani sauti. Effects za Trump siyo za utawala wake zitaendelea kuwepo baada ya miaka yake. EU anamuona Amerika ni adui baada ya kuitaka Greenland.

Kwa mara ya kwanza namuona Waziri wa Denmark ktk bunge la ulaya anahutubia kwa kutukana matusi ya nguoni🤣🤣🤣
 
Mask hajui hata Hivyo vitu ni mhimu kwa ajili ya kueneza propaganda za wazayuni dunia na usa kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…