Elon Musk ataka Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Sauti ya Amerika (VOA) zifungwe akidai hazina umuhimu tena

Hizi radio kwakweli hazina umuhimu sababu zinakupa habari za upande mmoja huku wakificha za upande wa pili...zifungwe tu
Habari gani ulitaka kuzisikia BBC, DW na VoA ukazikosa??
 
Hakuna kitu kama hicho, nafikiri ndiyo utakuwa mwisho wao hao wajinga. VOA ni zaidi ya chombo Cha habari yeye level zake ni kuwananga CNN hapo Marekani ila VOA ni kiungo muhimu mno kwa ushawishi wa Marekani huku Afrika na Dunia. Tulisena when you hire an idiot expect to be fired. VOA Ina malengo ya kutangaza Maoni ya wamarekani Afrika na only staff wake ni 961 pekee huyu jamaa anaenda kuharibu na muda si mrefu Marekani inaweza kuingia kwenye migogoro ya kimaslahi. US army na hivi vyombo vya habari ni zaidi ya propaganda. Trump na huyo Musk mtalamba mchanga.
Wakiifuta VOA nani atawasambazia propaganda zao huku nchi zinazoendelea?...... Wafute Ili China (CNR) iwapige bao.
 
Trump ametumia $milioni 10 za serikali kuhudhuria super bowl jana.
Ila zina julikana zimefanyiwa nini na ni hiyo superbowl final ilikuwa ni tukio kubwa Sana la kitaifa.

Tofauti na enzi za Biden ambapo vikundi mbali mbali vya left-wing activists vilikuwa vinafadhiliwa na serikali kupiga porojo tu na kutetea haki za ajabu ajabu kama za transgenders
 
Hao jamaa usikute wanakusanya hela ili watimkie Mars. Kuna kitu wamenusa kinaenda kutokea duniani, nini?
Comment yako ina make sense kwa mtu ambaye amekuwa akimfuatilia Elon Musk.

Kama nakuelewa hivi... maana Muski mwenyewe amewahi kusema inahitajika zaidi ya $7trillion ili mission nzima ikamilike, so usikute zile $6trillion aliyomuahidi Trump atazipunguza kutoka kwenye federal spending atazi divert kuelekea huko kwenye SpaceX Mars Program...😇
 
Trump anakuja kuleta mtikisiko mkubwa sana wa kiuchumi duniani ambao ni hatari sana kwa mataifa tegemezi.
Tunaelekea uelekeo wa ubabe/survival of the fittest, ukiwa mnyonge unamezwa.

Ni wakati wa GOT (Tanzania) wenye mamlaka kuanza kuchukua hatua ya kupambana na hili Kwa manufaa ya raia wake.
1. Serikali ianze kubana matumizi haraka sana
2. Serikali ianze kudeal na miradi yenye kuleta
return za haraka na huduma muhimu.
3. Serikali ianze kudhibiti mianya ya rushwa
haraka na Kwa nguvu kubwa sana.
4. Serikali ianze uwekezaji mkubwa kwenye
madini hasa Kwa wazawa small scale
miners,.
5. Serikali ianze kuwawezesha wakulima na
yenyewe inunue mazao kwa bei shindani na
kuweka stock kwenye maghala.
6. Serikali ipige marufuku madereva wa
bodaboda mitaani na kuwapa ajira jeshini
(JWTZ).
7. Serikali ianze kuencourage madereva wa
tax, bajaji wastaafu/wazee/akinamama/
vilema na wasioweza kufanya shughuli
nyingine za shuruba.
8. JWTZ ianze kuwa productive kwa kumiliki
mashamba makubwa sana ya mazao ya
chakula na viwanda vidogo vidogo vya
silaha na product nyingine ndogondogo.
9. Jeshi na majeshi yote yawe kwenye utayari
muda wote huku recruitment kubwa za
vijana wenye nguvu zikifanyika Kwa kasi.
10. Ni wakati wa Serikali kuanza kusimamia maadili sasa Kwa ukaribu na kupiga marufuku huu ujinga wote wa vijana mitandaoni na uchawauchawa, maana sasa tunakoendea jamii inahitaji watu serious wakuweza kukabiliana na uelekeo mpya wa Dunia ya ubabe, aka survival of the fittest.
Hili bandiko lako sasa linapaswa kuchapwa kwenye magazeti kama Mwanainchi na Uhuru tena kwenye page za mwanzo kabisa na kila muhusika alisome na kulifanyia kazi.
 
Ila zina julikana zimefanyiwa nini na ni hiyo superbowl final ilikuwa ni tukio kubwa Sana la kitaifa.

Tofauti na enzi za Biden ambapo vikundi mbali mbali vya left-wing activists vilikuwa vinafadhiliwa na serikali kupiga porojo tu na kutetea haki za ajabu ajabu kama za transgenders
Bajeti ya USAID ni 0.7% tu ya bajeti yote.
 
Kwenye hizo 0.7% ni 0.16% ya pesa zote zilikuwa zinawafikia walengwa, zilizobaki zote zilikuwa zinaishia kwenye mifuko ya wahuni kwanzia akina Samatha Power(chief administrator wa USAIDS) mpaka akina Seleman Jafo (enzi yuko TAMISEMI)
 
Elon na Trump ni wahuni tu.
 
Kwenye hizo 0.7% ni 0.16% ya pesa zote zilikuwa zinawafikia walengwa, zilizobaki zote zilikuwa zinaishia kwenye mifuko ya wahuni kwanzia akina Samatha Power(chief administrator wa USAIDS) mpaka akina Seleman Jafo (enzi yuko TAMISEMI)
Ingekuwa shida ni wafanyakazi wangewafukuza hao kina Samantha Power.
Wakikuta ufisadi Pentagon au CIA watazivunja hizo taasisi??
 
Hakuna kitu kama hicho, nafikiri ndiyo utakuwa mwisho wao hao wajinga. VOA ni zaidi ya chombo Cha habari yeye level zake ni kuwananga CNN hapo Marekani ila VOA ni kiungo muhimu mno kwa ushawishi wa Marekani huku Afrika na Dunia. Tulisena when you hire an idiot expect to be fired. VOA Ina malengo ya kutangaza Maoni ya wamarekani Afrika na only staff wake ni 961 pekee huyu jamaa anaenda kuharibu na muda si mrefu Marekani inaweza kuingia kwenye migogoro ya kimaslahi. US army na hivi vyombo vya habari ni zaidi ya propaganda. Trump na huyo Musk mtalamba mchanga.
Wewe ungeongea ya TBC ndio tungekuelewa lakini ya VOA huwezi kujua kuwashinda akina Musk, huo ni unafiki wa kiwango cha lami.
 
Ingekuwa shida ni wafanyakazi wangewafukuza hao kina Samantha Power.
Wakikuta ufisadi Pentagon au CIA watazivunja hizo taasisi??
Hawawezi kuzivunja ila watazifanyia reshuffling moja ya hatari kama kuna ulazima, na pia kaa ukifahamu hizo ni taasisi muhimu sana kwq usalama wa utaifa, na ndio maana hata budget yao ni kubwa sana... na huwezi hata kidogo ukazilinganisha taasisi hizo na USAIDS shirika la kihalifu la kueneza propaganda na instability kwenye mataifa maskini yasioendana na matakwa ya marekani(japo najua unaweza usilijue hili)

DOGE ipo kwa ajili ya kupunguza matumizi yasiokuwa na ulazima ya serikali, USAIDS imekuja kuthibitikq kwamba haina ulazima wa kuendelea kuwepo.
 
Kama kuna uhalifu wowote waliofanya USAID wa kueneza propoganda na instability popote walitumika kama mkondo tu wa CIA kwa hiyo chombo sahihi cha kukivunja ni CIA kwa sababu ndio kitakuwa chanzo/mizizi.
 
Back
Top Bottom