Elon Musk ataka Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Sauti ya Amerika (VOA) zifungwe akidai hazina umuhimu tena

Wakaze mikanda maana dunia inabadilika kwa kasi sana
Ni mda wa kusomea mambo mengine na kwenda na wakati, nina maana wazungu
Sisi hatubadiliki kabisa na tumekataa kubadilika
Kama vyoo vinatushinda kusafisha tu tutaweza kupambana na mengine
 
Nipeni Mimi DOGE ya bongo niwanyooshe, Naanza na Mwenge kuuzima mazima.
Sahihi kabisa kwanza unaanza na kupunguza idadi ya wizara na staffs wake, kutoka wizara sijui 18 sijui 20 unazipunguza hadi 9 kisha una recruit wafanya kazi wapya wachache based on meritocracy, sijui naibu waziri mara katibu wa wizara wote hao unaondoa..

Unakuja wabunge wa viti maalaumu futa kabisa na kila kitu kinachowahusu.

Na hata wabunge wa kuchaguliwa nao pia unawapunguza unaweka na limit wasizidi 140, na mishaara yao unaipunguza kwa 30% na posho ambazo hazina kichwa wala miguu...yaani unafanya ubunge iwe ni kazi ya wito sio sehemu ya kuishi maisha ya anasa.

Kuna mambo mengi sana ya kuondoa nchi hii, hakika tunaihitaji sana DOGE.
 
Wakaze mikanda maana dunia inabadilika kwa kasi sana
Ni mda wa kusomea mambo mengine na kwenda na wakati, nina maana wazungu
Sisi hatubadiliki kabisa na tumekataa kubadilika
Kama vyoo vinatushinda kusafisha tu tutaweza kupambana na mengine
Imagine nje ya marekani watu wanaongoza kwa kupiga kelele na kumlaumu Trump na Musk ni waafrika..

Hauskii kabisa wa Singapore, wathailand, wakorea wakiilalamika kwa kinachofanywa na serikali ya Trump.... kwanin?
 
Kwa sababu waafrika wana ulemavu wa aina yake
Kuna mzee alikuwa anasaidiwa kila wakati na mshua
Mwisho akaja akanikuta mimi nimeshika usukani akasema nimeijia haki yangu
Nikamwambia sikujua na wewe ni ndugu yetu
Sasa nchi masikini wameufanya msaada kama ni haki yao kabisa
Wacha wanyooke
 
Kama kuna uhalifu wowote waliofanya USAID wa kueneza propoganda na instability popote walitumika kama mkondo tu wa CIA kwa hiyo chombo sahihi cha kukivunja ni CIA kwa sababu ndio kitakuwa chanzo/mizizi.
Yawezekana ukawa sahihi kabisa, lakini pamoja na hivyo endapo CIA wangekuwa bado wanahiitaji sana USAID Kutimiza agenda zao(color revolution) sidhani kama wangemruhusu Elon Musk aisogelee... nadhan hata wao wenyewe wamejionea ufisadi uliokithiri kwenye hilo shirika ndio maana wameona Acha Trump aliiue tu.
 
Hakuna kitu kama hicho, nafikiri ndiyo utakuwa mwisho wao hao wajinga. VOA ni zaidi ya chombo Cha habari yeye level zake ni kuwananga CNN hapo Marekani ila VOA ni kiungo muhimu mno kwa ushawishi wa Marekani huku Afrika na Dunia. Tulisena when you hire an idiot expect to be fired. VOA Ina malengo ya kutangaza Maoni ya wamarekani Afrika na only staff wake ni 961 pekee huyu jamaa anaenda kuharibu na muda si mrefu Marekani inaweza kuingia kwenye migogoro ya kimaslahi. US army na hivi vyombo vya habari ni zaidi ya propaganda. Trump na huyo Musk mtalamba mchanga.
VOA siyo kwa ajili ya afrika tu,weka dish lako vizuri
 
Yawezekana ukawa sahihi kabisa, lakini pamoja na hivyo endapo CIA wangekuwa bado wanahiitaji sana USAID Kutimiza agenda zao(color revolution) sidhani kama wangemruhusu Elon Musk aisogelee... nadhan hata wao wenyewe wamejionea ufisadi uliokithiri kwenye hilo shirika ndio maana wameona Acha Trump aliiue tu.
CIA hawana usemi juu ya Elon, Trump anataka kuwafukuza wafanyakazi wote wa CIA na FBI aweke chawa/loyalists wake tu, amewapa buyout offer wafanyakazi waache kazi awalipe miezi 8 bure bila kufanya kazi.
 
Kwa sababu waafrika wana ulemavu wa aina yake
Kuna mzee alikuwa anasaidiwa kila wakati na mshua
Mwisho akaja akanikuta mimi nimeshika usukani akasema nimeijia haki yangu

Nikamwambia sikujua na wewe ni ndugu yetu
Sasa nchi masikini wameufanya msaada kama ni haki yao kabisa
Wacha wanyooke
Daah.. ila wabongo, hicho kisa cha huyo mzee kimenikumbusha braza wangu alijenga nyumba yake alipomaliza kupaua tu mpunga ukakata, basi akasimama ujezi kwa muda mrefu kidogo, sasa kuna jamaa mmoja mjita akaja kumuomba bro afanye kuishi kwenye hilo pagala yeye na familia yake wakati bro akiwa bado anakusanya nguvu.... na bro akamruhusu aishi tena bure, jamaa akatafuta milango ya temporary, kwenye madilisha akaziba na matofali akabakiza space ndogo tu ya kupitishia hewa kama yale ya lock up za police.

Basi jamaa ameishi kwenye hiyo nyumba kwa muda wa miaka mitatu kama kwake vile bila kulipia chochote na kulima akawa analima kabisa msimu wa mvua, mahindi, maharage n.k

Sasa mambo yalivyoanza kumuendea vizuri bro akaenda kumwambia jamaa aondoke kwenye hiyo nyumba maana yeye anataka kuendeleza ujenzi... ebwanaa yule jamaa si akakataa kutoka akidai kwamba hana sehemu ya kwenda, na kama ni hivyo basi itabidi bro amlipe hela ya miaka yote mitatu aliyemuangalizia nyumba yake...😉😊

Alivyoona bro anataka kutumia nguvu eti akaenda kumshtaki kwa mwenyekiti kwamba anaonewa na akakomaa kabisa eti hawezi kuondoka kwenye hiyo nyumba kama bro hata mlipa...haloo ilikuwa ni sereka, mpaka ikabidi bro ampe 120,000/= aende akatafute nyumba ya kupanga akaishi yeye na familia yake( jamaa alikuwa tayari ana Watoto wawili na mmoja alimpatia pale pale kwenye hilo pagala)...😋😋

Kama unavyosema siku zote maskini huwa wanaufanya msaada kuwa ni haki yao ya msingi hasa ukishawazoesha, na siku ukiwakatia huo msaada utavuna chuki na wanasahau kabisa jinsi walivyonufaika na wewe huko nyuma.
 
CIA hawana usemi juu ya Elon, Trump anataka kuwafukuza wafanyakazi wote wa CIA na FBI aweke chawa/loyalists wake tu, amewapa buyout offer wafanyakazi waache kazi awalipe miezi 8 bure bila kufanya kazi.
Your claims are too exaggerated, this can never be true/happen in meritocratic nation like US where there's true separation of power.

Kwamba kawaambie wafanyakazi wa FBI wasifanya kazi miezi 8 huku wakila mishaara ya bure tu? Hakuna kitu kama hicho
 
Screenshot_20250210-151504_X.jpg
 
Your claims are too exaggerated, this can never be true/happen in meritocratic nation like US where there's true separation of power.

Kwamba kawaambie wafanyakazi wa FBI wasifanya kazi miezi 8 huku wakila mishaara ya bure tu? Hakuna kitu kama hicho
 
Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu tena.

Musk alitoa kauli hizi akijibu chapisho la Richard Grenell, Mjumbe Maalum wa Marekani, ambaye alikosoa vyombo hivyo kama vyombo vya habari vinavyofadhiliwa na walipa kodi, vikiwa vimejaa "wanaharakati wa siasa kali za kushoto."

"Ni vyombo vya habari vilivyomilikiwa na serikali," Grenell aliandika. "Vyombo hivi ni urithi wa zamani. Hatuwahitaji vyombo vya habari vinavyolipwa na serikali."

Musk alikubaliana, akituma ujumbe wa kusema: "Ndio, vifungiwe." Aliendelea kudai kuwa vyombo hivyo "ni watu wa siasa kali za kushoto wanavyozungumza na wenyewe huku wakiteketeza dola bilioni moja kwa mwaka za fedha za walipa kodi wa Marekani."
===================
Elon Musk has called for the shutdown of Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) and Voice of America (VOA), two media organizations funded by the U.S. government, claiming they are no longer relevant.

Musk made the remarks in response to a post on X by Richard Grenell, the U.S. Special Envoy for Special Missions, who criticized the outlets as taxpayer-funded media filled with “far-left activists.”

“It’s state-owned media,” Grenell wrote. “These outlets are a relic of the past. We don’t need government-paid media outlets.”

Musk agreed, posting: “Yes, shut them down.” He went on to claim that the organizations “are just radical left crazy people talking to themselves while torching $1 billion a year of U.S. taxpayer money.”
Vifungiwe tu naunga mkono........
 
Kibarau cha shaka Sali kimeota
 
Daah.. ila wabongo, hicho kisa cha huyo mzee kimenikumbusha braza wangu alijenga nyumba yake alipomaliza kupaua tu mpunga ukakata, basi akasimama ujezi kwa muda mrefu kidogo, sasa kuna jamaa mmoja mjita akaja kumuomba bro afanye kuishi kwenye hilo pagala yeye na familia yake wakati bro akiwa bado anakusanya nguvu.... na bro akamruhusu aishi tena bure, jamaa akatafuta milango ya temporary, kwenye madilisha akaziba na matofali akabakiza space ndogo tu ya kupitishia hewa kama yale ya lock up za police.

Basi jamaa ameishi kwenye hiyo nyumba kwa muda wa miaka mitatu kama kwake vile bila kulipia chochote na kulima akawa analima kabisa msimu wa mvua, mahindi, maharage n.k

Sasa mambo yalivyoanza kumuendea vizuri bro akaenda kumwambia jamaa aondoke kwenye hiyo nyumba maana yeye anataka kuendeleza ujenzi... ebwanaa yule jamaa si akakataa kutoka akidai kwamba hana sehemu ya kwenda, na kama ni hivyo basi itabidi bro amlipe hela ya miaka yote mitatu aliyemuangalizia nyumba yake...😉😊

Alivyoona bro anataka kutumia nguvu eti akaenda kumshtaki kwa mwenyekiti kwamba anaonewa na akakomaa kabisa eti hawezi kuondoka kwenye hiyo nyumba kama bro hata mlipa...haloo ilikuwa ni sereka, mpaka ikabidi bro ampe 120,000/= aende akatafute nyumba ya kupanga akaishi yeye na familia yake( jamaa alikuwa tayari ana Watoto wawili na mmoja alimpatia pale pale kwenye hilo pagala)...😋😋

Kama unavyosema siku zote maskini huwa wanaufanya msaada kuwa ni haki yao ya msingi hasa ukishawazoesha, na siku ukiwakatia huo msaada utavuna chuki na wanasahau kabisa jinsi walivyonufaika na wewe huko nyuma.
Watu masikini huwa wana roho mbaya sana
Yaani visa vya hivi vinatokea sana
Yaani nimepata fundisho baada ya kuona mtu wa hivyo kalazimisha kilipwa 10m kariakoo kisa alikuwa kama huyo unaemsema
Alizipata kwa nguvu ya askari imagine
Sasa siku hizi tunaandikishana kwa mwanasheria kuwa hapo sio Pake na nikihitaji anaondoka
Anaanguka kalamu nabaki na nakala
Tena unakuta kama shamba anaoa na ana watoto
Hapo unamshirikisha na mama na awaambie watoto kuwa hapo sio kwao ipo siku wataondoka
 
Kuna redio idhaa ya kiswahili
1. Deutsch Vele
2.VOA
3.JAPAN
4. CHINA
5. FRANCE INTERNATIONAL
6. SOUTH AFRICA
Hizi redio zinawasikilizaji kweli?
 
Back
Top Bottom