Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Kujua dunia inakwendaje ni Jambo la Muhimu maana kuna maamuzi juu ambayo yakitolewa ni lazima yaguse maisha ya kila moja wetu.
Maisha yanakua mabaya au mazuri zaidi hilo usiniulize utajaza mwenyewe.
Nay wa Mitengo kakosoa wajinga na kawatukana sana muamke acheni kulala. Kuwa na maisha mazuri inahitaji akili sana, hasa akili ya kumjua mchawi nani, fish anakula fish life in a sea.
Twende kwenye mada.
Nasikia hiyo mi Robot ya Elon Musk itaenda kufuta kazi watu wengi sana, Kazi nyingi ambazo watu wanafanya zitaanza kufanywa na Robots.
Serikali itatakiwa imlipe Elon Musk na kampuni yake ili wapewe wafanyakazi smart, clever and fast than human.
Kwahiyo itakua hivi, kuliko serikali iajiri watu elfu 10, inaweza hitaji robot moja tu kufanya kazi zote.
Mpambe wa Elon musk anasema robot hupewa maelekezo (logic) nini cha kufanya, na atafanya kwa ustadi zaidi ya binadamu.
Mfano uliotolewa ni kwamba, Roboti litakuwa na uwezo mkubwa wa kujua mtu mbaya anakuwa na tabia ipi, kwahiyo litatumika kukamata watu wabaya.
Roboti litakuwa na uelewa wa kujua ya kwamba huyu mtu ni mwizi na anajaribu kuchukua mali ya watu.
Nikawaza: Upo zako nyumbani na mkeo inatokea ugomvi, ile unataka kumpiga mke wako, unashangaa Roboti anakutuliza kidogo anakwambia broo unapoelekea unataka kumtwanga huyu mwanamke, kwani si kweli mchepuko unao, kwani anakusingizia? 😂😂
Maisha yanaenda kasi sana.