Elon Musk hatutakii mema sisi watu wa kawaida

Hizo ndio athari za kukua kwa teknolojia na hatuwezi kuzuia.
 
Unaweza kuchukulia simple lakini jamaa tuwaangalie kwa jicho lingine , asee wale watu sio poa

Just like magonjwa yanavyo exist kwa binadamu, lakini haimzuii binadamu kua na kuzaliana.
The point hapa hackers wapo na watazaliwa wengine, ila technology itaendelea kukuwa day after day
 
Just like magonjwa yanavyo exist kwa binadamu, lakini haimzuii binadamu kua na kuzaliana.
The point hapa hackers wapo na watazaliwa wengine, ila technology itaendelea kukuwa day after day
Sure, let's see what will happen 😰😪
 
New world order

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…