Elon Musk kuifungua Account ya Donald Trump Jumatatu

wapo kama wanne wamechomolewa, hio 200m sio ya kila moja bali wanagawana..

ni pesa ndogo sana ukilinganisha na power waliyo kuwa nayo ya kui controll twitter,

pesa ni mtoto kwa power, power ndio baba lao.
Kama Twitter ingekua na faida sana uongozi wa Twitter usingemlazimisha musk ainunue
 
Mkuu hata kama kawatimua wanaondoka na package ya kutosha ya zaidi ya 200 m usd.
Hamna. CEO anaondoka na $60 million. Ni nyingi of course, hata hivyo CEO alikuwa anafanya kazi kulingana na matakwa ya shareholders, sio matakwa ya Musk wala raia wasio na hisa wala. Hata watumiaji sio wa muhimu kuliko shareholders
 
Hii ni failure kwake kwakuwa alianzisha mtandao wake lakini umeshindwa kabisa kufanya vema
 
Acha Ujinga wewe Elon alitaka aambiwe idadi ya Account fake ndio alipe. Unakuja judanganya watu Twitter hailipi ndio maana walilazimisha kuuza [emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo walimlazimisha anunue ili awafukuze?
 

Kama Twitter ingekua na faida sana uongozi wa Twitter usingemlazimisha musk ainunue

Unajua mahakama ndo imemlazimisha anunue acha ujinga
... sawa umeeleweka; uongozi wa twitter ulimlazimisha Elon ainunue twitter ili autimue uongozi. Nonsense!
 
Hawa CEO ndio wajanja....walimlazimiaha Musk kununua kwa hiyo ni wazi waliijua hatima yao.
 
... sawa umeeleweka; uongozi wa twitter ulimlazimisha Elon ainunue twitter ili autimue uongozi. Nonsense!
Kuwa mfuatikiaji wa mambo achaga ujinga mahakama ndo ilimlazimisha kununua baada ya kukataa kununua in first place
Nikikuita mjinga ntakua nakosea
 
Kigogo kajifia natural death
 
Unaijua USD million 200 ni sawa na billion almost 500 za kitanzania unasema hela ndogo mtoa comment hajaongelea usd bill 44
Ni kwenu ndo nyingi ndo Mana jamaa alisema kwa nafasi waliokuwa nazo ni wewe masikini ndo utaona Ni nyingi ila Ni kawaida Ni vile wewe hauna ndo mana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…