Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kwa marekani watu wanaomiliki usd million 100 ni group la less than one percent ya total populationNi kwenu ndo nyingi ndo Mana jamaa alisema kwa nafasi waliokuwa nazo ni wewe masikini ndo utaona Ni nyingi ila Ni kawaida Ni vile wewe hauna ndo mana
Less than one percent ya wamarekani Wana networth ya more than one million unalijua hiliHiyo ni pesa kubwa kibongo. Ila siyo pesa ya kustafia Marekani
Lakini hawaishi comfortably kwa kipato hicho.Less than one percent ya wamarekani Wana networth ya more than one million unalijua hili
Hao ndo matajiri waliokamata uchumi wa marekaniLakini hawaishi comfortably kwa kipato hicho.
Walizingua hao kina kanjibai acha watumbuliweAmewatumbua wahindi wote jinga jinga
mzee wa kambawapo kama wanne wamechomolewa, hio 200m sio ya kila moja bali wanagawana..
ni pesa ndogo sana ukilinganisha na power waliyo kuwa nayo ya kui controll twitter,
pesa ni mtoto kwa power, power ndio baba lao.