Elon Musk kuisaidia Wikipedia $1 Billion, endapo tu itabadili jina

Hivi non profit organisations zinajiendeshaje? Tunaamini kabisa ni shirika/taasisi isiyojiendesha kwa faida? Then kama ni kwa hasara moaka sasa wametengeneza hasara kuwbwa kiasi gani?
Donation mbalimbali kutoka kwenye foundations za Kimataifa especially zinazo embrace freedom of expression
 
Twitter forever!!
 
Yupo kama mudi Au yule muhajemi😂

Huyu ana onesha tabia za waafrika kama wenzie tajwa hapo juu...

Waafrika na wenye asili hiyo vichwa vyao vipo kasi sana🤣
 
Hahaaaaa mara "Dick " mara " X "
Mzungu kichaa Elon musk huyo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyu sio mzima ana uchizi kidogo...
 
Kumbe unaweza kuwa na kampuni inapeleka vifaa kwenye Mars na mwezini, una kampuni inatengeneza gari za umeme na ukawa hauna akili timamu?
Mwenye akili Timamu ni yule anasubiri umeme wa Mgao na maji ya kununua kwa ndoo wakati Mto Ruvu yanamwagika tuu au Wami hapo yanachezewa na Viboko...
 
huyu jamaa ni mzungu lakini ana tabia zote za kiafrica aliyepata pesa. mamake alikuwa mmarekani baba mcanada, na alizaliwa africa kusini naona akachukua kiburi cha pesa cha waafrica.
 
Hivi non profit organisations zinajiendeshaje? Tunaamini kabisa ni shirika/taasisi isiyojiendesha kwa faida? Then kama ni kwa hasara moaka sasa wametengeneza hasara kuwbwa kiasi gani?
Non Profit organisations zinatengeneza faida lakini hiyo faida haiendi kwa wawekezaji.. Zingatia haziendi kwa wawekezaji. Hata hasara haiendi kwa wawekezaji.

Kwa kifupi hakuna gaiwo kwa wawekezaji. Kwa hiyo faida na hasara zinabaki kuwa za organization husika.
 
Ajabu ndio tajiri namba 1.
Wewe mwenye akili hata kazi ya kisafisha choo chake huwezi pata.
Utajiri wake ndio umemfanya awe hivo, na sijasema hivo kwa lengo lolote baya. Kunywa maji relax.

Pambana hiyo hard life iwe nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…