Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliuliza hili swali quora ila kwenye open source software kama linux, Android nk.Hivi non profit organisations zinajiendeshaje? Tunaamini kabisa ni shirika/taasisi isiyojiendesha kwa faida? Then kama ni kwa hasara moaka sasa wametengeneza hasara kuwbwa kiasi gani?
Kwa sababu kichwa kimejaa kumbukumbu za xx porn. Kama ungekuwa mambo ya xx porn hayamo kichwani mwako wala usingeona shida.Ila kiukweli, ile X sijaikubali kuanzia logo hadi inavyo sound, ila ndio hivyo nguvu ya pesa.
Umejuaje wewe dona[emoji851][emoji851]Masharti ya miungu yake
[emoji16][emoji16][emoji16]Pussypedia would have make more sense than dickpedia.
[emoji16][emoji16]Ye abadilishe space X aite pussyx nimpe laki na nusu
JF nayo si NGO, ngoja melo aje kukujibu.Hivi non profit organisations zinajiendeshaje? Tunaamini kabisa ni shirika/taasisi isiyojiendesha kwa faida? Then kama ni kwa hasara moaka sasa wametengeneza hasara kuwbwa kiasi gani?
Non profit sio maana yake kupata hasara. Wao hawauzi huduma wanayotoa na hawana matangazo yanayolipa pesa kwaoHivi non profit organisations zinajiendeshaje? Tunaamini kabisa ni shirika/taasisi isiyojiendesha kwa faida? Then kama ni kwa hasara moaka sasa wametengeneza hasara kuwbwa kiasi gani?
The most intelligent, successful and richest movie director alikua na matatizo ya akili na watu wakaja kushtuka baadaye mnoKumbe unaweza kuwa na kampuni inapeleka vifaa kwenye Mars na mwezini, una kampuni inatengeneza gari za umeme na ukawa hauna akili timamu?
Kuna muda naweza nikawa na tatizo Mimi hapa Ila siwezi kuliona Bali nakuona wewe ndiye mwenye tatizoMimi binafsi uwa namuona musk Ana matatizo ya akili
Masikini ndo wana matatizo ya akili. Toka lini tajiri akawa na matatizo ya akili?Mimi binafsi uwa namuona musk Ana matatizo ya akili
Wikipedia wachukue hiyo hela. Re-branding yao haitakuwa na negative effects zozote kwao. Mtu ana hela zimejaa anataka kuzitumia halafu watu mnazikataa?![]()
Ni habari ambayo imeacha watu vinywa wazi baada ya CEO wa Tesla na Space X Elon Musk kupendekeza kuisaidia wikipedia msaada wa dola bilioni moja kwa masharti kama itaweza kubadili jina kutoka wikipedia kuwa 'Dickipedia', 😳 Elon Musk amesisitiza ametoa kipindi chini ya mwaka mmoja wajitafakari.
Hata hivyo inadaiwa si mara ya kwanza Musk kutoleana mbovu na wikipedia. Inadaiwa moja ya waanzilishi wa wikipedia Jimmy Wales alimkosoa Elon Musk kwa kuzuia uhuru wa kujieleza mtandaoni baada ya kukubali matakwa ya serikali ya Turkey kuzuia baadhi ya Tweets katika nchi ya Turkey wakati wa uchaguzi May 2023.
Wikipedia ambayo inaendeshwa na wikimedia, shirika linalojiendesha pasipo kutengeneza faida(non profit organization) inaweza kufanya mapinduzi makubwa katika encyclopedia ya mtandaoni endapo tu itapata kiasi hiko.
Watu wamekuwa na maoni tofauti wengine wakimponda Musk kuwanyanyasa wenzie kwa kwa kutumia utajiri alionao. Wengine wakiisisitiza wikipedia ikatae msaada huo.
Kuwa NON PROFIT ORGANISATIONS, hakumaanishi kuwa hawana vyanzo vya kupata fedha isipokuwa wao wako registered si kwa nia ya kutoa huduma ili wapate faida.Hivi non profit organisations zinajiendeshaje? Tunaamini kabisa ni shirika/taasisi isiyojiendesha kwa faida? Then kama ni kwa hasara moaka sasa wametengeneza hasara kuwbwa kiasi gani?
MIMI NI MWANA SAIKOLOJIA WA KUZALIWA.ukiongea na mimi ndani ya dakika 5 nakufahamu wewe ni mtu wa aina gani.sawa dogo?Masikini ndo wana matatizo ya akili. Toka lini tajiri akawa na matatizo ya akili?
Non profit org haimaanishi kuwa zinajiendesha kwa hasara, bali ni kwa fedha za wafadhili, mfano ni kama hiyo mwenda anavyotaka kuwapa pesa. Ila wafadhili wao si wenye akili kama za huyu kwenye huu uzi.Hivi non profit organisations zinajiendeshaje? Tunaamini kabisa ni shirika/taasisi isiyojiendesha kwa faida? Then kama ni kwa hasara moaka sasa wametengeneza hasara kuwbwa kiasi gani?
OKKwa non profit organization ni kitendo cha kutogawana faida hata ikipatikana. Huko faida hiyo huitwa ziada. Wanachokifanya ni kupata fedha kutoka kwa wafadhili, wanaendesha biashara ambazo nyingi zinakuwa kwa mfumo wa huduma kama shule, mahospitali n.k. Ziada inayopatikana kutokana na makusanyo hayo hawagawani. Inabaki humo humo kuendeshea huduma zao.
Tukumbuke kuwa hao wanaoanzisha hizo non profit organization wanajilipa mishahara, minono minono kulingana na ukubwa wa hiyo ngo. Hivyo wanaishi kama wafanyakazi wengine wa hiyo ngo. Wanakula raha tu.
Wikipedia mapato yao wanapata kwenye mtandao.