Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua

Endeleeni kushabikia tu wakati Freemason wanawaingiza mkenge.
 
Hili ni Jambo jema kwa Nchi ila Tatizo litakuja kwa serikali yetu hii... Hapa ndo mtachoka na waambia, hio starlink itapigwa kodi mpaka mtashangaa, tutarudi palepale kwenye 3000 kwa GB 1.
Hebu imagine nchi kama hii et wanazuia njia za mtu kupokea pesa from abroad, seriously?
 
Serikali yetu ni washamba sana
 
Ogopa teachnology ipo siku hakuta kuwa na simu.
 

Wakose tu mapato wananufaika wao
 
Na Dunia nzima imeridhia uchumi wa soko huria. Kwann wakatae? Wanataka uganga?!! [emoji13][emoji13][emoji4]
 
Swali je nape na timu yake Voda Airtel tigo halotel Simba net watakubali hii kitu jibu ni hapana.
Sijui watu wengine hawajaielewa vizuri Tanzania jinsi ilivyo au ni kusahau tu!

DSTV ya Afrika Kusini bei chini kuliko ya Tanzania, hivyo hivyo Azam ya Burundi ipo Chini kuliko ya Tanzania.

Tena msije kushangaa hiyo Starlink ikanyimwa kibali kama itakataa kufuata masharti ya Nape na wadau wake
 

Hapa ndipo atakapo kuwa analazimishwa akubali kuwa tayari kupata maelekezo kutokea juu or else:

"Ni hatari hasa ukizingatia hio internet anaisimamia yeye na anaweza kukataa amri ya kuizima hasa kwenye uchaguzi, Pia hata Twitter ni yake inakuwa ngumu kuwabana watu wasiitumie ikitokea mitandao mingine ya simu imezuiliwa kutumia twitter."

Hapo ndipo penye kusuka au kunyoa.

Ndiyo maana wakaita - bongo, nyoso.
 
Tunaoteseka ni sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…